Nigeria's economy goes into recession

Nigeria's economy goes into recession

Economic Growth---figures
Economic development---Hapa ndipo kuna uhalisia ni kwa vipi economic growth ina akisi maendeleo ya kiuchumi ya watu.Na hapa ndipo tunapofeli sasa.
Sisi tumeelemea kwenye Economic Growth figure,okay pole pole tu tutafika!!
 
Its official sasa internal combustion engine inayotegemea gasoline is dead ni swala la muda tuu gasoline engine tutakuwa tunaitembelea kwenye museums ,technology imeua oil business, Volkswagen and TESLA wana technology inayokupa 300miles per charge in less than 30 minutes and is just the beginning,mikebe yote ya petrol itakuwa kama telegram, LP, typewriters, phone booth etc waarabu sasa na nchi nyingine zinazotegemea mafuta itabidi walime na kuvua samaki tuu kama wasukuma
 
Uchumi wao unategemea sana mafuta lakini ufisadi na rushwa ni babkubwa acha hizi za escrow na lugumi,ka unatime google mtu anaitwa James ibori hako ni kifisadi kadogo tu.
 
Its official sasa internal combustion engine inayotegemea gasoline is dead ni swala la muda tuu gasoline engine tutakuwa tunaitembelea kwenye museums ,technology imeua oil business, Volkswagen and TESLA wana technology inayokupa 300miles per charge in less than 30 minutes and is just the beginning,mikebe yote ya petrol itakuwa kama telegram, LP, typewriters, phone booth etc waarabu sasa na nchi nyingine zinazotegemea mafuta itabidi walime na kuvua samaki tuu kama wasukuma
Waarabu wamejipanga kiaina mfano dubai na Saudi Arabia wamejenga nchi zao na wana vyanzo vingine vya mapato lakini nigeria ruswha ni kubwa mno ndio maana wanaisoma namba vizuri.
 
Back
Top Bottom