Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 825
- 1,627
- Thread starter
- #41
Bado ngj niitafuteMkuu umecheki 'Unseen' ya sauz? Kama bado itafute ni series tamu
Bado ngj niitafuteMkuu umecheki 'Unseen' ya sauz? Kama bado itafute ni series tamu
naomba unitukane hayo matusi mapya please!Binafsi kuanzia Sasa n shabik nambar uno wa muvi na series za kinaija
Hawa jamaa wanajua na wanakuja kwa Kasi ya ajabu
Kimzki wametushinda hata muvi pia wametushinda
Ukitaka kuamin maneno yangu tafuta hizi baadh tu
Gangs of Lagos
Hey you
Far from home
Shanty town
NB. Ukicomment ushuzi nakutukana tusi jipya
Kufa kiume ww kula bunduki ya kiarabu ntwiii ntwiiinaomba unitukane hayo matusi mapya please!