Nigeria vs Switzerland FIFA U/17 Final

Watoto wa nigeria wanapiga ball bana kuna dogo pale kati anaitwa ramon azeez yaani km okocha noma kuna mwingine anaitwa okoro ana spidi mbaya halafu mfungaji wao emmanuel namfananisha na mtoto wa tembo enzi zile akiitwa daniel amokachi
 
mkuuu nilikuwa nashangaa niko peke yangu naangalia hii game.nikatafuta thread humu nimekosa.mpira mzuri sana nigeria wanapoteza nafasi sana walitakiwa waongeze kwani wanacheza vizuri.
 
mkuuu nilikuwa nashangaa niko peke yangu naangalia hii game.nikatafuta thread humu nimekosa.mpira mzuri sana nigeria wanapoteza nafasi sana walitakiwa waongeze kwani wanacheza vizuri.

Hata mie pia nihesabu maana naangalia laivu nyumbani kwangu.
Mpira mzuri kweli.
 
Wa swiss wanacheza counter attack ila wako fit nao si mchezo, nusu fainali nigeria walicheza na spain, ule mpira uliochezwa siku ile ulikuwa balaa spain walikuwa km wamesimama wakapigwa 3-1
 
sawa sawa mkuu imesaidia sana hii mechi wakati huuu wa international break manake watoto wanapiga kandanda safi sana.

Hapa ndipo nchi za West Africa zinapotuzidi sisi wa East. Cheki vile
youth program zao zilivyonawiri. Wanauhakika na timuya taifa for the
next five yrs. Jana senior team ime-qualify world cup baada ya kuwachapa
Kenya 3-2 hapo Nairobi.
 
Hivi vitoto vikikutana na Kenya, Tanzania au Uganda ni mvua ya magoli hahahahaha
 
Tatizo jingine la ni kujiangusha angusha kwa nigeria wakiingia kwenye kumi na nane, wa swiss wamefunga duh
 
Hivi vitoto vikikutana na Kenya, Tanzania au Uganda ni mvua ya magoli hahahahaha

ha ha ha! wenzetu wanawekeza kwenye mpira siyo sisi tunasubiri pesa za akina Manji au Malinzi lini tutaanzisha timu za watoto? Kwanza TFF ilitakiwa kuweka sheria kwamba club za ligi kuu zote ziwe na timu za madogo.
 
Tatizo jingine la ni kujiangusha angusha kwa nigeria wakiingia kwenye kumi na nane,
kama ulikuwa unaosma ninachoandika nilitaka kupost hivyo hivyo.wameshajaribu kuanguka sana na wameona refa hana mda na upuuzi huo kwani wasiwe ngangari? au ndio ugali vs mazoezi lol ?
 
Dah,

Huwa inaniuma sana kuona timu ninayoipenda ikifungwa kama hivi,,, wacha nivae miwani myekundu nisione Switzerland wakituaibisha nyumbani
 
Back
Top Bottom