Nigeria U17 won World Cup ... after beaten Mexico 3 nil in Final

Jembajemba

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2007
Posts
260
Reaction score
32
Nigeria U17 wanatisha

Kama hawa vijana watalelewa vizuri wanaweza kuja kuwa tishio baadae

Hongereni vijana ... mumeonesha munaweza
 
Kati Ya Sentensi hizi Hivi ipi ni Sahihi? NIGERIA U17 WON WORLD CUP... AFTER BEATEN MEXICO 3 NIL IN FINAL na NIGERIA U17 WON WORLD CUP ... AFTER BEATING MEXICO 3 GOALS TO NIL IN FINAL. Hebu Mnaoujua Kizungu Watani Zangu WAHAYA, WAHA, WANYATURU NA WARANGI Nisaidieni Hapa Mimi MZANAKI. Naipenda Sana Lugha Yangu Ya Kiswahili!
 
Kwa nini isiwe NIGERIA WINS U17 WORLD CUP AFTER BEATING MEXICO 3 - 0 IN THE FINAL MATCH ... tuwasubiri wenye lugha hiyo (Wahaya) waje kutusasambulia lugha yao. Hata mimi nabaki na Kiswahili changu!
 
Kati Ya Sentensi hizi Hivi ipi ni Sahihi? NIGERIA U17 WON WORLD CUP... AFTER BEATEN MEXICO 3 NIL IN FINAL na NIGERIA U17 WON WORLD CUP ... AFTER BEATING MEXICO 3 GOALS TO NIL IN FINAL. Hebu Mnaoujua Kizungu Watani Zangu WAHAYA, WAHA, WANYATURU NA WARANGI Nisaidieni Hapa Mimi MZANAKI. Naipenda Sana Lugha Yangu Ya Kiswahili!

Kwani wewe hujui kuwa Kizungu TZ ni issue? Ujumbe umeuelewa unataka nini tena?
 
Mnaiaibisha nchi yetu na kiingereza chenu kibovu
 
Mkuu, aibu haiepukiki. Naibu Waziri wa Elimu - Mulugo si tu kwamba aliongea broken English bali pia alisema Tanzania ni Muungano wa Pemba na Zimbabwe. Nadhani umenipata!
 
Nigeria U17 wanatisha

Kama hawa vijana watalelewa vizuri wanaweza kuja kuwa tishio baadae

Hongereni vijana ... mumeonesha munaweza

Mkuu, hicho kichwa cha andika kwa lugha adhimu - kiswahili
Tutakuekewa tu.
 
Back
Top Bottom