NIGERIA: Kipindupindu chaenea kwa kasi

NIGERIA: Kipindupindu chaenea kwa kasi

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,274
Reaction score
25,322


Umoja wa mataifa umesema kwamba ugonjwa wa kipindupindu umeendea kwa kasi kubwa katika kambi za makaazi ya watu Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.

Inasemekana kwamba zaidi ya matukio 530 ya ugonjwa huo yameripotiwa katika jimbo la Borno, ikiwa ni mara tatu zaidi ya idadi iliyotolewa siku tano zilizopita.

Zaidi ya watu ishirini wamefariki dunia. Mapigano kati ya vikosi vya serikali na Boko Hamam, yamesababisha watu zaidi ya milioni mbili kuyahama makazi yao.


Muungwana
 
Inasemekana Nigeria ni ya pili kwa uchumi mkubwa barani Africa sasa najiuliza hivi wanashindwa kupambana na kipindupindu au huo uchumi ni ule wa kununua Silaha za kivita
 
Inasemekana Nigeria ni ya pili kwa uchumi mkubwa barani Africa sasa najiuliza hivi wanashindwa kupambana na kipindupindu au huo uchumi ni ule wa kununua Silaha za kivita
Sio inasemekana Nigeria ni wakwanza kiuchumi Africa

the great
 
Sasa kama wana hali nzuri ya kiuchumi mbona wanahangaika na mripuko wa ugonjwa ambao chanzo chake ni uchafu tu tatizo ni nini au ndiyo uchumi wa makaratasi tu ili hali wananchi wana hali mbaya kuanzia huduma za kijamii mpaka miundombinu serikali inaelekeza pesa kununua silaha tu za kijeshi hii ni aibu waboreshe huduma za kijamii kwanza
 
Back
Top Bottom