JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,309
- 5,464
Dunia inazidi kuwa salama. Hongera sana Rais Buhari na Jeshi jasiri la Nigeria kwa zawadi hii nzuri.... huu kweli msimu wao kwenda kujilia zile 72; last week Ayman al-Zawahir (al-Qaida); juzi Khaled Mansour (Islamic Jihad); leo Alhaji Modu ‘Bem Bem’ (Boko Haram). Safi sana.
Nahisi mpaka sasa kwenye ile list ya THE 72, ameshapiga kama 15 hivi.Dunia inazidi kuwa salama. Hongera sana Rais Buhari na Jeshi jasiri la Nigeria kwa zawadi hii nzuri.
Pia bila kuwasahau Joe Biden na CIA kwa kumtunuk Al Zawahir the 72. Pia pongezi za dhati kwa Jeshi tukufu IDF la taifa teule pamoja na waziri mkuu lipid na waziri wa ulinzi Gangtz wa taifa teule kwa kumuwaisha faster kuzim Mansour Khaled.
Juhud zenu za kuleta usalama duniani na Mali za watu tumezipokea kwa dhati na msihishie hapo tupo pamoja.
Bwana Utam STRUGGLE MAN Ami
HahahahahaIla kama ni kweli kule akhera kuna 72 wahuni wanaenda kufaidi sana sijajua kama hao 72 tu wanashare au kila mtu na 72 wake..
Dunia haiwezi kuwa salama kwa kuuana. Kusemeheana ndilo suluhisho. Kuelimishana kuwa binaadamu sisi hatutofautishwi na diniDunia inazidi kuwa salama. Hongera sana Rais Buhari na Jeshi jasiri la Nigeria kwa zawadi hii nzuri...
Kati ya hao 15 ....kumi atakuwa kawala tigoNahisi mpaka sasa kwenye ile list ya THE 72, ameshapiga kama 15 hivi.
Bado Gaidi Barck Obama yupo pale AlabamaDunia inazidi kuwa salama. Hongera sana Rais Buhari na Jeshi jasiri la Nigeria kwa zawadi hii nzuri.
Pia bila kuwasahau Joe Biden na CIA kwa kumtunuk Al Zawahir the 72. Pia pongezi za dhati kwa Jeshi tukufu IDF la taifa teule pamoja na waziri mkuu lipid na waziri wa ulinzi Gangtz wa taifa teule kwa kumuwaisha faster kuzim Mansour Khaled.
Juhud zenu za kuleta usalama duniani na Mali za watu tumezipokea kwa dhati na msihishie hapo tupo pamoja.
Bwana Utam STRUGGLE MAN Ami
Wanawapinga mno westerns ishu za ushoga, wakati ushoga chimbuko lao ni wao.Kati ya hao 15 ....kumi atakuwa kawala tigo
Ila kama ni kweli kule akhera kuna 72 wahuni wanaenda kufaidi sana sijajua kama hao 72 tu wanashare au kila mtu na 72 wake..
Kiuhalisia Ugaidi hauwezi kuisha. Mpaka wisho mwisho wa dunia huko.Ripoti ya Jeshi la Nigeria iliyotolewa leo Agosti 8, 2022 imeeleza taarifa ya kuuawa kwa kiongozi wa Kundi la Boko Haram, Alhaji Modu ‘Bem Bem’ baada ya kufanyika kwa mashambulizi ya anga.
Mbali na kiongozi huyo pia Wanamgambo 27 wa kundi hilo pia wameuawa katika mashambulizi ya Agosti 3, 2022 katika Jimbo la Borno.
Modu anatajwa kuhusika katika kuratibu mashambulizi ya kundi hilo katika Nchi za Nigeria, Niger, na Cameroon.
------------------------
Nigeria's Boko Haram commander killed in air strike
Boko Haram militant group leader Alhaji Modu, alias Bem Bem, was killed last week in an air strike by the Troops of Air Task Force (ATF), the Nigeria military announced on Sunday.
It said 28 militants were also killed in the airstrike carried out on 3 August in the north-western Borno State.
The BBC has not been able to independently verify the report.
Modu is alleged to have coordinated Boko Haram attacks in Nigeria, Niger, and Cameroon from caves in Mandara mountain.
Zagazola Makama, a counter-insurgency expert quoted by various local media, says Modu was an armed robber before becoming a Boko Haram commander.
The Nigerian government says that the military has recorded significant success in the fight against Islamist militants, including the voluntary surrender of thousands of militants in the north-east.
Source: BBC
Hakika ulikuwa msimu mzuri kwa counterterrorism operations.... huu kweli msimu wao kwenda kujilia zile 72; last week Ayman al-Zawahir (al-Qaida); juzi Khaled Mansour (Islamic Jihad); leo Alhaji Modu ‘Bem Bem’ (Boko Haram). Safi sana.
Ugaidi ni suala la kiitikadi zaidiKiuhalisia Ugaidi hauwezi kuisha. Mpaka wisho mwisho wa dunia huko.
ila kwa sasa haiwezekani , na kila unapomuua mmoja unazalisha wengine kumi mfano wake.