Nigeria anabeba Ndoo AFCON

Ya, Nigeria wanaweza chukua ndoo,

Wanacheza ugly football,!

Wanacheza kwa kuvizia mashambulizi,

Nadhani safu ya mbele wapo vzr,wanawachezaji wazuri Sana..!

Sitoshangaa lookman kuibuka mchezaji Bora wa Afcon!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…