Niger: Wanajeshi 17 wauawa, 20 wajeruhiwa katika shambulio

crankshaft

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,410
3,376
Wanajeshi 17 wa niger wauwawa kwenye shambulio mpakani na chad kutoka kwa makundi yenye silaha.

Makundi mbalimbali yenye silaha kama isil hufanya shughuli zake maeneo hayo.

Kwa mujibu wa Serikali ya kijeshi ya nchi hiyo wanajeshi wengine 20 wamejeruhiwa na kupelekwa katika hospitali ya mji mkuu niamey kwa matibabu zaidi.

source: al jazeera
 
Back
Top Bottom