hahahahahahaha huh sasa hapo unataka afe kabisa yaani na ndoa ifungwe kwa njia ya cm . Mayo nene umenifurahisha kweli utandawazi unarahisisha mengi, sasa nadhani awahi yeye kuifunga hiyo ya njia ya cm.Sasa Ablessed mimi na wewe nni anamkatisha tamaa?
Ndo maana na mimi nikamwambia waonanenae ili kila mmoja ajue mabadiliko ya mwenzake ila kwakusema waemdelee na mapenzi ya kwenye simu hatutakawia kusikia akisema wameshafunga ndoa kwa njia ya simu.