Nifunguen! Tunapendana bila kujuana!

Sasa Ablessed mimi na wewe nni anamkatisha tamaa?

Ndo maana na mimi nikamwambia waonanenae ili kila mmoja ajue mabadiliko ya mwenzake ila kwakusema waemdelee na mapenzi ya kwenye simu hatutakawia kusikia akisema wameshafunga ndoa kwa njia ya simu.
hahahahahahaha huh sasa hapo unataka afe kabisa yaani na ndoa ifungwe kwa njia ya cm . Mayo nene umenifurahisha kweli utandawazi unarahisisha mengi, sasa nadhani awahi yeye kuifunga hiyo ya njia ya cm.
 
Kukupenda pasipo kukuona inawezekana.Anaweza akawa amependa sauti yako,mazungumzo yako,jins unavyomjali hata kupitia cmu,n.k. Kwa hy ucjali ndugu mpe nafac na ujitahd muonane atakupenda zaidi.Sasa mambo yamebadilika mademu wanatongozwa kupitia simu na wa2 wasiowafahamu na wanakubali.Wapo wazush na wapo ambao wapo real!
 
Tuliza kichwa wewe usitoke na povu jingii sana kwani mambo yote unayajua wewe na hata kama tukisema tusema sana hapa tutakuwa kama tunakosea; Ushauri wangu wewe tulia endelea kuwasiliana nae mwisho utajua tu kama kuna mapenzi ya kweli ama la maana kwa sasa ni mapema mno kusema chochote.
 
mi nilipenda mtu bila kumwona bana alikosea tu cm tukawa tunachat,sauti yake ilikuwa balaa nikajua atakuwa kama nlivyomjenga kwenye bongo yangu.akatuma nauli niende alipo jaman nashuka kwenye basi napiga cm kumwona aliyepokea nikachoka.nikazima cm na kujifanya npo buzy nikazunguka upande wa pili na kupanda gari kurudi nlikotoka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom