Nadhani majibu ya swali lako umesha yaeleza hapa chini.Jaman nifunguen macho ni kwel naweza pendwa kias hicho na mtu asiye nikumbuka? Au nazugwa tu mwishowe nijifie na penz juu yake shingon?
Hivi miaka 8 yote atakuwa alikua anakusubiri wewe tu? Kama hautamkuta ana watoto 6 ni bahati!!!!Kwa sasa nina miez mitatu tangu nimepata namba yake na kuamua kufunguka kuwa nampenda.kanikubal na ana mapenz makal sana kwangu japo kasema hanikumbuki.
Hahahahahaha huh sasa wewe unamtisha mwenzako lol.Nadhani majibu ya swali lako umesha yaeleza hapa chini.
Hivi miaka 8 yote atakuwa alikua anakusubiri wewe tu? Kama hautamkuta ana watoto 6 ni bahati!!!!
Huenda ukamkuta ameolewa au alisha achika zamani.
BTW fanya mpango mkutane ana kwa ana huenda ukakuta unawasiliana na bibi yake ukadhani ni yeye.
you are very very right mydiaJitahidi kumfuatilia kwa karibu ili uonane nae maana hapo bado hamjaanza kupendana kwani yeye hakukumbuki. Isipokua anakufeel tu , sasa huenda atakapokuona atakata tamaa kabisa , huenda upo kinyume na anavyoimagine. Sasa kama anahisi wewe ni bonge la mtu na akauta mtu wa kawaida itamdiscourage and vice versa. Mkisha onana hapo ndipo mtaianza safari ya mapenzi taratibu. Remember love is a two way traffic
mzima best?
Nimekumic ujue
Sasa Ablessed mimi na wewe nni anamkatisha tamaa?Hahahahahaha huh sasa wewe unamtisha mwenzako lol.
Ndo maana na mimi nikamwambia waonanenae ili kila mmoja ajue mabadiliko ya mwenzake ila kwakusema waemdelee na mapenzi ya kwenye simu hatutakawia kusikia akisema wameshafunga ndoa kwa njia ya simu.Jitahidi kumfuatilia kwa karibu ili uonane nae maana hapo bado hamjaanza kupendana kwani yeye hakukumbuki. Isipokua anakufeel tu , sasa huenda atakapokuona atakata tamaa kabisa , huenda upo kinyume na anavyoimagine. Sasa kama anahisi wewe ni bonge la mtu na akauta mtu wa kawaida itamdiscourage and vice versa. Mkisha onana hapo ndipo mtaianza safari ya mapenzi taratibu. Remember love is a two way traffic
mie mzima sana sijui weye...hata mie nimekumiss sana best...halafu inabidi nikutafute kuhusu habari ya TA aisee!!!