Brother James
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 233
- 172
Salaam Alleykhum,
Wadau kwa kutumia uzoefu wenu, nishaurini nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12 nilionao ili kila mwisho wa mwezi at least nipate Net profit ya milioni mbili.
Nipo tayari kufanya biashara katika mkoa wowote Tanzania au hata kama ni importation business kama mtaji unatosha nipo tayari.
Nipeni ushauri ili nami nitoboe.