Nifundwe jinsi ya kupiga ban

Nimekuwa naona watu wanapigana ban yaaan Ile banned kwenye dp
Sasa mimi Kuna manyang'au yananizinga mara matus mara yananionea wivu sa nataka niwe nayalamba ban nimechoka kupigwa dis kwenye uzi Kwan kupenda ni kosa km wanadamu ya kunguni wapambane na hali zao Kuna maandaz nataka niyalime ban ya mwaka

Wa kishua
Kuna vijana wanazeeka vibaya wallahi

Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom