Nifundisheni kupenda!!!

Mchezo nafahamu ila sipati appreciation kwa muhusika
Mchezo nilimaanisha hali halisi ya kupenda(sikumaanisha kugegedana) ilivyo bila ya shaka unaifahamu.

Kwa tatizo lako nafikiri haijatokea mtu ambae naweza sema damu zenu mnaendana, yaelekea labda wao wahusika huwa wanakushobokea kwa sababu fulani, labda niseme Pesa mathalani ndiyo zinazowaleta kwako.

Ningekushauri uendelee kutafuta mwenza taratibu, nina hakika ipo siku utampata ambae atakukubali au naweza sema mtaendana.

Achana na hao viruka njia
 

Well said kaka. Taken it from you....
 

duh! baba kitombi huyo.
 
Aspirin
More headache! Elaboration please

Watoto wa majirani walioletwa na gari Robot ni wa yule jamaa amezaa kwa mchepuko, robot haikufanya makosa, ila wale wa kwake siku zote waliotakiwa kuletwa na gari Robot hawakuwemo kwenye gari kwa sababu mke wake naye aklikuwa amechepuka, maana yake amezini akazaa na mwanamme mwingine wa nje. Kwa hiyo jamaa alikuwa analea watoto siyo wake, na wa kwake wote walikuwa ni wale wa wake za majirani zake
 

Duuh, hatari sana hii . .
 
Yeye uliyenaye ndio angekusaidia kukwambia wapi unakosea na ufanye nini kurekebisha!
 
Kama wallet ina ID only lazima uambiwe hujui kupenda ati...nakupa mfano kuna cku nilienda tengeza pc kwenye kwenye salon ya kike rumo,palikuwa na wadada watano nanukuu stori zao.
Mdada 1-..."yani nimepata msukuma 1 ananipenda viba vibayaaaaa"
Mdada2-kwa lipi shogaaa???
Mdada1-Yani cjui nitake nini nikosee,juzi shopping mln city,cwaona touch hii(huawei ascend y300),viatu(high hills),ameniunganisha kifurushi cha mwezi yani cna time ya kukwangua vocha za jero jero...Mungu anipe nini mieee
Mdada2-wacha weee cjui kwa nini ce hatugendwi jaman
Mdada3-weweee mie nimepelekwa shoppin zenji,nikikohoa 2 waleti pyaaaa,hapa amenipa laki na nusu nije suka na nasuka za elf 30.... yani kaka wawatu ananipenda mpaka namuonea huruma........!!!!!nadhani umepata walau picha hapooooo
 
Yeye uliyenaye ndio angekusaidia kukwambia wapi unakosea na ufanye nini kurekebisha!

Anaponda bila kutoa marekebisho.!!!. Mbaya zaidi hasifii mazuri Yang!! Sijui ndio ile tabia ya waafrika kusimuliana shidaa tuu na wakati kuficha nyakati za Neema tuu
 
Myb haujui kuhonga na ndo maana unaambiwa haujui mapenzi! Au labda una kibamia alafu washindwa kukitumia! Hahah ni mtazamo tu
 

Kweli kbs. Car, Communication and Cash zinamaliza kila kitu kwenye mahaba nijioneshe kwa marafiki.
Niliwah fanya research kwa wadada kadhaa juu ya pesa na mapenzi.
4 walisema pesa si kitu kwenye mapenzi na 1 alitamka bila hofu kuwa pesa ni mpango mzima!!! Nikagundua baadae kuwa hata wale 4 waliona aya kusema ktk public kuwa pesa ni mvuto namba moja ktk mahaba
 

Hahahahaaaaa... kibamia mpango mzima. Huwa hazungumzii upande wa uwanja wa fundi seremala
umenichekeshaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…