Hawa ndiyo wanaotumwa humu kuvuruga mijadala yenye mashiko na maana ili kuzima mijadala inayo zungumzia burning issues na kashfa mbalimbali, hapa hakuna msamba wala nini, kwanini asimwulize mmoja wa watu wake wa karibu au wazazi wake au hata huyo aliyemtajia neno msamba kwa mara ya kwanza kabisa maishani mwake