cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 497
Ijumaa ya leo najisikia kutuma salamu za kimahaba moja kwa moja kutoka katika studio zilizoko moyoni mwangu zifike kwako wewe unayeufanya moyo wangu ustuke kama umepigwa na radi pindi ninapokuwaza.
Naona nisikutaje jina sababu unajua sina mwingine zaidi yako wewe asali ya moyo wangu mpenzi wa maisha yangu!
Baby i wish you a wonderful week-end.
IM SO GLAD TO HAVE U BAIBE IN MY LIFE!
:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S-rose::A S-rose::A S 101::A S 101::hug::hug:
Hahahahahaaaaa JF pamegeuka studio ya mahaba, nimeipenda sana! ila kama mpenzi wako ndo yuleyule ujue leo ninae hapa! kanisomea mwenyewe hiki ulichoandika!!! ntamrudisha kesho jioni na kama huamini utaona atakuambia nilikua msibani yule beberu wetu alifariki! ukisikia hivyo tu utakumbuka maneno yangu!!! KWA KWELI NI BINTI MWENYE HESHIMA SANA NIMEMPENDA MNO! NTAMRUDISHA KESHO! umeskia eeehh
ashante
Duuu hizi salamu ningezipata mimi? hakika kamoyo kangu kangeshtuka.....hongera zake na salamu zake zimfikie!
zishamfikia.
eti nasikia kirefu cha jina lako ni ZIPU WAZI WAZI.
sikujua kuwa mie ni HE is a boy!
Dah! ni nani huyo mwenye bahati?? Mbona bahati hizi zinatupitia mbali..........
Ijumaa ya leo najisikia kutuma salamu za kimahaba moja kwa moja kutoka katika studio zilizoko moyoni mwangu zifike kwako wewe unayeufanya moyo wangu ustuke kama umepigwa na radi pindi ninapokuwaza.
Naona nisikutaje jina sababu unajua sina mwingine zaidi yako wewe asali ya moyo wangu mpenzi wa maisha yangu!
Baby i wish you a wonderful week-end.
IM SO GLAD TO HAVE U BAIBE IN MY LIFE!
:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S-rose::A S-rose::A S 101::A S 101::hug::hug:
Hebu geukia ukutani!!!!!!!!!!!!!
tayari,
happy now?
thanks love ..........................!Ijumaa ya leo najisikia kutuma salamu za kimahaba moja kwa moja kutoka katika studio zilizoko moyoni mwangu zifike kwako wewe unayeufanya moyo wangu ustuke kama umepigwa na radi pindi ninapokuwaza.