Nifikishieni salamu hizi kwa mpenzi wangu!

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,586
0
Ijumaa ya leo najisikia kutuma salamu za kimahaba moja kwa moja kutoka katika studio zilizoko moyoni mwangu zifike kwako wewe unayeufanya moyo wangu ustuke kama umepigwa na radi pindi ninapokuwaza.
Naona nisikutaje jina sababu unajua sina mwingine zaidi yako wewe asali ya moyo wangu mpenzi wa maisha yangu!
Baby i wish you a wonderful week-end.
IM SO GLAD TO HAVE U BAIBE IN MY LIFE!
:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S-rose::A S-rose::A S 101::A S 101::hug::hug:
 
The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,617
1,225

:hungry::hungry::hungry::hungry::hungry:
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,187
2,000
Hahahahahaaaaa JF pamegeuka studio ya mahaba, nimeipenda sana! ila kama mpenzi wako ndo yuleyule ujue leo ninae hapa! kanisomea mwenyewe hiki ulichoandika!!! ntamrudisha kesho jioni na kama huamini utaona atakuambia nilikua msibani yule beberu wetu alifariki! ukisikia hivyo tu utakumbuka maneno yangu!!!
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,187
2,000
Hahahahahaaaaa JF pamegeuka studio ya mahaba, nimeipenda sana! ila kama mpenzi wako ndo yuleyule ujue leo ninae hapa! kanisomea mwenyewe hiki ulichoandika!!! ntamrudisha kesho jioni na kama huamini utaona atakuambia nilikua msibani yule beberu wetu alifariki! ukisikia hivyo tu utakumbuka maneno yangu!!! KWA KWELI NI BINTI MWENYE HESHIMA SANA NIMEMPENDA MNO! NTAMRUDISHA KESHO! umeskia eeehh
 
Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,058
2,000
Duuu hizi salamu ningezipata mimi? hakika kamoyo kangu kangeshtuka.....hongera zake na salamu zake zimfikie!
 
cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,586
0
Hahahahahaaaaa JF pamegeuka studio ya mahaba, nimeipenda sana! ila kama mpenzi wako ndo yuleyule ujue leo ninae hapa! kanisomea mwenyewe hiki ulichoandika!!! ntamrudisha kesho jioni na kama huamini utaona atakuambia nilikua msibani yule beberu wetu alifariki! ukisikia hivyo tu utakumbuka maneno yangu!!! KWA KWELI NI BINTI MWENYE HESHIMA SANA NIMEMPENDA MNO! NTAMRUDISHA KESHO! umeskia eeehh

sikujua kuwa mie ni HE is a boy!
 
Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,058
2,000
Ipo siku nitawaambia maana ya jina hili ila hiyo si maana yake ! Atanikisema kuwa ZIPU WAZI WAZI nitakuwa najisumbua tu kwani itapigwa na Upepo bure na baridi iliyopo hapa.
zishamfikia.
eti nasikia kirefu cha jina lako ni ZIPU WAZI WAZI.
 
Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,458
2,000
Dah! ni nani huyo mwenye bahati?? Mbona bahati hizi zinatupitia mbali..........
 
uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,725
1,225
Ijumaa ya leo najisikia kutuma salamu za kimahaba moja kwa moja kutoka katika studio zilizoko moyoni mwangu zifike kwako wewe unayeufanya moyo wangu ustuke kama umepigwa na radi pindi ninapokuwaza.
Naona nisikutaje jina sababu unajua sina mwingine zaidi yako wewe asali ya moyo wangu mpenzi wa maisha yangu!
Baby i wish you a wonderful week-end.
IM SO GLAD TO HAVE U BAIBE IN MY LIFE!
:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S-rose::A S-rose::A S 101::A S 101::hug::hug:

Salamu zimefika sorry sijaziona kabla network ilikuwa inasumbua Its very sweet of you mpaka machozi yananilenga have a wonderful weekend too without you there is no air to breath i dedicate the song 'no air' by jordin sparks which sums up how i feel and how important you are to me,thanks again.:A S-rose::A S kiss:
 
father-xmas

JF-Expert Member
Mar 23, 2010
530
0
Ijumaa ya leo najisikia kutuma salamu za kimahaba moja kwa moja kutoka katika studio zilizoko moyoni mwangu zifike kwako wewe unayeufanya moyo wangu ustuke kama umepigwa na radi pindi ninapokuwaza.
Naona nisikutaje jina sababu unajua sina mwingine zaidi yako wewe asali ya moyo wangu mpenzi wa maisha yangu!
Baby i wish you a wonderful week-end.
IM SO GLAD TO HAVE U BAIBE IN MY LIFE!
:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S-rose::A S-rose::A S 101::A S 101::hug::hug:
thanks love ..........................!
love you more............!
Jiandae kwa out ya kufa mtu leo jioni.............!
:love::love::clap2::clap2::A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom