Nifikishieni salamu hizi kwa mpenzi wangu!

Hahahahahaaaaa JF pamegeuka studio ya mahaba, nimeipenda sana! ila kama mpenzi wako ndo yuleyule ujue leo ninae hapa! kanisomea mwenyewe hiki ulichoandika!!! ntamrudisha kesho jioni na kama huamini utaona atakuambia nilikua msibani yule beberu wetu alifariki! ukisikia hivyo tu utakumbuka maneno yangu!!!

Hueleweki Eli.

Nashukuru kwa kuniwakilisha.

Duuu hizi salamu ningezipata mimi? hakika kamoyo kangu kangeshtuka.....hongera zake na salamu zake zimfikie!

Afadhali hujazipata hatutaki kukupoteza kwa shinikizo la moyo.
 
thanks love ..........................!
love you more............!
Jiandae kwa out ya kufa mtu leo jioni.............!
:love::love::clap2::clap2::A S-rose::A S-rose::A S-rose:

Rejea kwenye signature ya mtuma salamu.Hapa umekosa wa kukusaidia kugawa zawadi x-mas hii lol!
 
Salamu zimefika sorry sijaziona kabla network ilikuwa inasumbua Its very sweet of you mpaka machozi yananilenga have a wonderful weekend too without you there is no air to breath i dedicate the song 'no air' by jordin sparks which sums up how i feel and how important you are to me,thanks again.:A S-rose::A S kiss:

thank you so much,
this means a lot to me.
nimeipenda dedication yaani leo ni wmbo huo tu nausikiliza,ukiisha naurudia.:A S kiss::A S-rose:
 
thanks love ..........................!
love you more............!
Jiandae kwa out ya kufa mtu leo jioni.............!
:love::love::clap2::clap2::A S-rose::A S-rose::A S-rose:

Faza im speechless.:grouphug:
asante mpendwa wangu.
 
Ijumaa ya leo najisikia kutuma salamu za kimahaba moja kwa moja kutoka katika studio zilizoko moyoni mwangu zifike kwako wewe unayeufanya moyo wangu ustuke kama umepigwa na radi pindi ninapokuwaza.
Naona nisikutaje jina sababu unajua sina mwingine zaidi yako wewe asali ya moyo wangu mpenzi wa maisha yangu!
Baby i wish you a wonderful week-end.
IM SO GLAD TO HAVE U BAIBE IN MY LIFE!
:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S-rose::A S-rose::A S 101::A S 101::hug::hug:

mweeeh,nime-freeze ghafla sasa niulize kwa furaha au majonzi:whoo:
 
Rejea kwenye signature ya mtuma salamu.Hapa umekosa wa kukusaidia kugawa zawadi x-mas hii lol!

ha ha haaaa,yaani nimecheka leo,nawewe uporoto umepata wa kukusaidia kuuza viazi pale sokomatola au mabatini,hehe lucky yu.
 
Salamu zimefika sorry sijaziona kabla network ilikuwa inasumbua Its very sweet of you mpaka machozi yananilenga have a wonderful weekend too without you there is no air to breath i dedicate the song 'no air' by jordin sparks which sums up how i feel and how important you are to me,thanks again.:A S-rose::A S kiss:

hiyo itakua PC ya kichina nini mkubwa...........?au credit ilikata.........!
Cheusie baby you know Im the only bigboy here who can take good care of you bila kusingizia network............!
btw,kuandikwa kwenye signature sio big deal........................!lol
 
??????????????????????
 
ha ha haaaa,yaani nimecheka leo,nawewe uporoto umepata wa kukusaidia kuuza viazi pale sokomatola au mabatini,hehe lucky yu.

mbona mnataja ajira zetu humu jamani,
kazi ni kazi mradi watoto wetu wapate mkate na ada ya shule jamani cha msingi hatuibi cha mtu wala hatuitwi wavivu!
 
hiyo itakua PC ya kichina nini mkubwa...........?au credit ilikata.........!
Cheusie baby you know Im the only bigboy here who can take good care of you bila kusingizia network............!
btw,kuandikwa kwenye signature sio big deal........................!lol

Mkuu ni hawa uhuruone/selcom wifi/hotspot nimelipia miezi 3 najuuta kuwafahamu connection yao eratic ntarudi airtel.Kuhusu signature kama umekataa kusoma alama za nyakati kwenye signature ya cheusimangala yenye mioyo ilioungana na signature yangu hujaiamini basi soma yako tena kwamba umekuwa overcomed without a blow.
 
ha ha haaaa,yaani nimecheka leo,nawewe uporoto umepata wa kukusaidia kuuza viazi pale sokomatola au mabatini,hehe lucky yu.

Hahaha! nilishaacha kuuza viazi,sikuhizi mimi ni muosha vyoo muandamizi pale Movenpick na cheusi karidhika na kazi yangu mlie tu mwaka huu lol!
 
kwa kiingereza hicho cheo chako ndio senior toilet overseer?
 
wazazi wakiniuliza kazi ya mchumba wangu itabidi niwaambie kwa kingredha sbb inasound vizuri kuliko kiswahili chake!
hata mc kwenye harusi itabidi tumwambie ataje kazi ya bwana harusi kwa kingreza!
 
Ijumaa ya leo najisikia kutuma salamu za kimahaba moja kwa moja kutoka katika studio zilizoko moyoni mwangu zifike kwako wewe unayeufanya moyo wangu ustuke kama umepigwa na radi pindi ninapokuwaza.
Naona nisikutaje jina sababu unajua sina mwingine zaidi yako wewe asali ya moyo wangu mpenzi wa maisha yangu!
Baby i wish you a wonderful week-end.
IM SO GLAD TO HAVE U BAIBE IN MY LIFE!
:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S-rose::A S-rose::A S 101::A S 101::hug::hug:

Mimi naona tayari umeisha zituma unataka tena tuzifikishe kivipi mbona unatuchanganya tu, halafu cheusimangala avatar yako kama iko jinsi ulivyo basi unaweza leta vita vya nuklia hapa duniani
 
pole kwa kukuchanganya.
mimi siko kama hiyo avatar,mimi niko kimnyume chake hivyo usihofie hamna vita ya nuklia vitakavyotokea.
 
wazazi wakiniuliza kazi ya mchumba wangu itabidi niwaambie kwa kingredha sbb inasound vizuri kuliko kiswahili chake!
hata mc kwenye harusi itabidi tumwambie ataje kazi ya bwana harusi kwa kingreza!

Nimecheka mpaka mbavu zinauma mc akitamka kwa kiingereza ndugu wengi kwakuwa hawajui kidhungu vizuri wataona ni bonge la cheo na akitaja movenpick ndio kabisaaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom