Myomb_0
Member
- Apr 17, 2013
- 72
- 51
Habari wakuu,
Natumaini ni wazima wote licha ya changamoto ya covid19.
Naomba ushauri kwa wale waliopo Zanzibar au waliowahi kupatembelea;
Ni hotel gani nzuri ambayo una huduma nzuri lkn pia ipo karibu na vivutuo vya utalii?
Pia, kwa honey moon mnashauri hoteli gani?
Pia, mnashauri nitembelee sehemu gani nikiwa Zanzibar?