kama bado huna wazo, nenda kwenye stock market nunua dola, baada ya muda flani kaziuze(shillingi yetu haishuki tu bali inaserereka kwa kiwango cha SGR)..baada ya muda ukiuza utapata faida na pia utakuwa ushapata wazo nn ufaye...
[QUOTEKwa sasa a-maisha, post: 26325869, member: 397053"]Kama hukuwa na wazo usikurupuke ni bora uiwekeze kwenye ardhi ukipata wazo la uhakika utauza ardhi ufanyie kazi wazo[/QUOTE]
Ardhi kwa sasa wateja WA kutafuta, nikiwa na shida itanisumbua, naweza hata kupata hasara