Nifanyeje?

Lakini jamani mbona wanawake wengine wanafagilia sana hii kitu? msimkatishe tamaa bana wako wanawake wanapenda sana za hivo.
Kaka niko chini ya miguu yako muelekze atawapata wapi (kimkoa au personaly) maana atakosa ujasiri siku c nyingi huyu mwenzetu.
 
Jamani naingia kwenye hili jamvi nikiwa na masikitiko makubwa.mwenzenu nina tatizo ktk mahusiano yangu ya kimapenzi,mwenzenu nina tatizo la kuachwa na wanawake kisa kwamba sijatoa go**i na kwenda kutoa hospital mila zetu haziruhusu mchango wenu tafadhari wadau!

Si utoe hilo govi kwanini uendelee kujipa tabu au unalipenda ww soda ya kopo?
 
nimeshindwa niseme nini maana hata kutafakari halihitaji , kama unadai mila haziruhusu unashindwa nini kwenda huko kwenye mila kulimaliza??
 
sasa wewe hiyo mila inakusaidia nn
ng'ang'ana na mila wasichana waendelee kukukimbia
chaguo moja mila au kutoa gozi.
 
Jamani naingia kwenye hili jamvi nikiwa na masikitiko makubwa.mwenzenu nina tatizo ktk mahusiano yangu ya kimapenzi,mwenzenu nina tatizo la kuachwa na wanawake kisa kwamba sijatoa go**i na kwenda kutoa hospital mila zetu haziruhusu mchango wenu tafadhari wadau!
mwone JF doctor kwa ushauri zaidi
 
Back
Top Bottom