Nifanyeje?

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,457
Reaction score
4,792
Nilikutana na binti mrembo mwenye chura akanivutia sana kuwa naye,Nilikuwa na mipango ya kuoa ila sio yeye.Ila baada ya mapenzi kunoga akshika ujauzito wangu.Nikamwambia sitaki watoto ila kama ameshika ujauzito poa tu azae,ila kwa sasabu nilionesha kutofurahia aliamua kuutoa bila kunitaarifu.Nilipojua nikachukia nikamwambia tuachane siwezi kuwa na mwanamke asiyeheshimu uhai wa mtoto.Nilipotaka kuachana naye akakoroga sumu na kunijazia watu nikaona isiwe shida tukaendelea ila nikamuonya asishike ujauzito bila kukubaliana.

Kwa hasira sijui au kiherehere akachepuka na watoto wa mjini,mimi sikujua kwa hakika ingawa kwa kanuni zangu huwa mtu akila mali zangu uwa kuna mambo huwa yanatokea na huwa ninamwambia moja kwa moja kwamba nahisi kwamba umenisaliti niambie ukweli nikuweke huru.Kwa ujinga wake akakataa kabisa kuwa hajagawa pipi ingawa mimi moyo ulikuwa unaniambia nshamegewa kwa sababu ninafahamu mwanamke wangu anavyopaswa kuwa.

Basi tukaendelea akashika mimba ya pili mimi nikajua kabla yake kuniambia sababu niliona mabadiliko kama yale ya mimba ya kwanza ila hii akitoa bila kuniambia.Nikamwambia umeshika mimba ukaitoa ni kosa lingine umefanya mimi sipo na wewe utakapoanza kuteseka utakuwa mwenyewe.Nilipokuwa namwambia hivi nilijua ninachomwambia ingawa yeye hakujua wa kuelewa.basi tukaendelea na mapenzi ila sasa mimi moyo wangu ukawa na shaka sana na huyu mwanamke mpaka nikajua kabisa kuwa huyu kashakubuhu ila kwa sababu sikuwa na ushahidi basi sikujali ila siku moja niliamu kumtegua tu ili nimalize mambo tuwachana nikafanya udukuzi nikampa ushahidi wa picha akiwa na huyo hawara yake wanadendeka in public nikampa namba ya huyo jamaa na nikaongea naye na kupata ushadi wote.

Niliamua kudukua baada ya kuona mambo yangu hayaendi.Kwa kanuni yangu huwa ninaamini unapofanya na mtu mnayependana huwa unapata baraka na mambo yanaenda vizuri ila sasa akianza kuingiza wengine sehemu ambayo ni wewe tu unapaswa kuingia huwa nuksi zinaingia hivyo nilipoona nuksi mara kazini shida,biashara haziendi nikajie penzi lishaingia sumu.Nikafanya udukuzi wangu nikampa ushahidi nikataka tuachane.Akagoma akisema picha si yake ni watu wameamua kumchafua kwa kuedit.Kwa kuwa aliniona mjinga kwa kweli nilimpiga sana kiasi kwamba nililazwa polisi siku mbili wakitaka kuniandikia kesi ya attempted rape.baadaye yeye mwenyewe alifuta kasi kwa masharti kwamba nisimuache kwa sababu ana ujauzito wangu.

Kutokana na kulala lock up nilipoteza kazi na mambo yangu mengi yalivurugika.Kwa uchungu niliondoka na kumkimbia huyu binti na kuhamia sehemu nyingine.Na hii ilikuwa rahisi kwa sababu nilikuwana double life so ilikuwa ni swala kupanda gari na kwenda mooa mwingine na tangu kipindi hicho sijawahi kumpa huyu binti hata senti tano.

Alijitahidi sana kunitafuta kuhusu mtoto wetu kabla hajazaliwa na mimi nilimwambia kwa sasa sina uwezo wa kumtunza.Alipambana mwenyewe na ameshajifungua mtoto ana miezi minne.

Tatizo ni kwamba yule binti bado anataka kuendelea kuwa na mimi.Mimi mtoto sijawahi kumuona ingawa huwa ananipa taarifa lkn sijawahi tuma matumizi.Anatafuta sana taarifa zangu ili aende kwetu ingawa itakuwa ngumu sana kwa kwake kupata taarifa zangu.

Ninachohitaji ushauri ni hivi.

Je nimpokee aendelee kuwa mke wangu tulee mtoto?
Je huyu binti kwa tabia aliyoonyesha je kweli anafaa kuwa mke?
Je nikimptezea jumla mpaka mtoto afike umri wa kuweza kuchukuliwa na mimi ndio nimtafuta ni sawa?

nawaza sana hii hali hasa kutoka na ukweli kwamba maisha yangu kidogo hayaniruhusu kuwa nae full time kwa sababu ya nature ya lifestyle yangu.

Povu ruksa ila ......
 
Sijashindwa ila napenda kupata mitazamo tofauti zaidi.
Swali la pili na la tatu wewe ndio mwenye maisha yako hivyo amua kama utaweza jiridhisha,
Picha naona lilianza pale alipo pata mimba bila wewe kuitaka.
Shida nyingine ulimtamani kutokana na chura yake badae ukadata nae. Kama haupo tayari na moyo hauridhii kuwa mke. Achana nae beba mtoto
 
Mkuu kama unakubari mtoto, msaidie matumizi. Mengine kama unaweza, achananae. Huyo hafai. Ni hatari kwa maisha yako.
 
Kiukweli ukiacha madhaifu ya kawaida ya mwanadamu kuna vigezo ambavyo anavyo kitabia ambavyo binafsi naona viko sawa ila napata ukakasi bado
 
Mkuu iyo mimba si umesema c yako
 
Mkuu iyo mimba si umesema c yako
Kwa kweli siwezi sema hiyo mimba sio ya kwangu maana moyoni mwangu najua mimba ni yangu,Huyu binti sio mjanja kiasi cha kunipa mimba ya mtu mwingine maana naelewa mzunguko wake wa hedhi vizuri na papuchi yake nimeingia hadi kwenye kona nikikataa kwamba sio wangu nitakuwa sijitendei haki wala huyo mtoto
 
Ndo matatizo ya vijana wa kiume kupenda chura bila kuchunguza kiundani.Kwakweli suala la mapenzi ya wawili halina ushauri.
 
Kama uliweza kumdukua wakati ile, kwa ninu usimdukue wakati huku?
 
Huyo mwanamke usithubutu kumsogelea, hilo ni bomu la nyuklia!! Ooohooo shauri yako!!!
 
Ndo matatizo ya vijana wa kiume kupenda chura bila kuchunguza kiundani.Kwakweli suala la mapenzi ya wawili halina ushauri.
Sasa unafikiri nilitakiwakuchunguza nini zaidi?
 
Sijui mwenyewe utavoona
Ila sidhan kama kumchukua mtoto itakua rahis na huku uwajibiki kama baba et usubir umr wa kumchukua ukifika ndo ukamchukue, usishangae utapoambiwa mtoto si wako!
 
Kwa uzoefu wangu juu ya mahusiano naona kua huyu binti we unampenda sana na hutamani kumpoteza japo anakupa mitihani ya hapa na pale

Kwa ushauri wangu Mimi naomba uoe huyo binti na kuhusu tabia nna uhakika atabadirika ukiwa nae ndani kama ana tabia mbaya lkn

Usipooa hapo unaweza usipate mtoto kwasababu akili yake ikishahama kwako ujue ndo kimoja
afu ushampa sifa za uzuri kwahyo ikitokea mtu mwingine akamuoa huyo binti Nina uhakika utaumia sana

Hakuna aliekamirika ila tunaangalia pale tunapopenda japo kua na uhakika kua huyo ndo anaekufaa ni vigumu kwasasa afu tayari anajua hali yako ya kimaisha ni ngumu na bado anataka uwe nae tu
Huyu ndo mtakaejenga nae maisha. oa mkuu

Unaepitia nae magumu na akakuvumilia ujue huyo ana asilimia kubwa sana ya kua mwandani wako
 
Kiukweli ukiacha madhaifu ya kawaida ya mwanadamu kuna vigezo ambavyo anavyo kitabia ambavyo binafsi naona viko sawa ila napata ukakasi bado
Achana nae mkuu, usije kufa kwa stress, lea damu yako
 
una uhakika gani hiyo mimba ni yako?
 
ila nini mbona ujamalizia sasa................

il mkuu kama mtoto ni wako ya nini kupambana leo mtot maisha yaende hakuna lingine usikimbie majukumu bhana

uyo mwanamke unaweza mpotezea ila uyo mtoto je? lea mtoto acha uhuni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…