Rich Pol JF-Expert Member Joined Oct 11, 2013 Posts 7,877 Reaction score 5,701 Jun 30, 2014 #101 ICHANA said: Ha ha ha pole walimwengu wanapenda kizuri ule na nduguyo Weka sheria home kwako kama za FIFA best Click to expand... Its true my dear nitaweka sheria 17 kama za FIFA! Nitakualika siku moja upajue kwetu.
ICHANA said: Ha ha ha pole walimwengu wanapenda kizuri ule na nduguyo Weka sheria home kwako kama za FIFA best Click to expand... Its true my dear nitaweka sheria 17 kama za FIFA! Nitakualika siku moja upajue kwetu.
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Jun 30, 2014 Thread starter #102 'Valentina' said: Ebu nambie basi ilikua ukaniacha mataa? Click to expand... Wewe ulikuwa wa mazoezi tu lakini mechi zote nachezea kwa charty Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
'Valentina' said: Ebu nambie basi ilikua ukaniacha mataa? Click to expand... Wewe ulikuwa wa mazoezi tu lakini mechi zote nachezea kwa charty
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Jun 30, 2014 Thread starter #103 ICHANA said: Congrats my boss Kibo10 tumekuandalia zawad kwa office Mungu awabariki na bibie charty Click to expand... Asante ICHANA na ninakuaidi siku ya ndoa yetu na charty nitakupandishia mshahara mara dufu!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
ICHANA said: Congrats my boss Kibo10 tumekuandalia zawad kwa office Mungu awabariki na bibie charty Click to expand... Asante ICHANA na ninakuaidi siku ya ndoa yetu na charty nitakupandishia mshahara mara dufu!!