Nifanyeje nisome bila kuathiriwa na hisia za mapenzi?

Ndugu wanajamvi,

Mimi kijana wa kwenu, nilipata scholarship mwaka huu kusoma masters nchini Hongkong. Ndugu zangu unalipiwa kilakitu but nachomiss ni kugegeda ndugu zangu kila nikiomba mzigo kwa mzungu sipewi nanyimwa.

Muonekano wangu nipo vizuri tu na kwakweli laiti ningepata msichana ningefaidi sana kwasababu room unaishi mwenyewe nina mwezi sasa genye zinataka kunimaliza. Nimekuja kwenu watu wenye maujuzi mbali mbali mnisaidie nifanyaje nisome bila kuathiriwa na tatizo la genye.

Ndugu zangu natanguliza shukrani zangu za zati.

Acha kuwapotezea watu muda kwa kuchangia mada hewa Ref;Naombeni ushauri kwa huyu mwanamke
 
Acha kuwaza ngono mkuu...wewe kilichokupeleka huko ni masomo sio ngono...ukianza kuwaza ngono utakuja kufanya vitu vingine halafu utatetereka..

Kwani huwezi kuvumilia hadi likizo?
 
Ndugu wanajamvi,

Mimi kijana wa kwenu, nilipata scholarship mwaka huu kusoma masters nchini Hongkong. Ndugu zangu unalipiwa kilakitu but nachomiss ni kugegeda ndugu zangu kila nikiomba mzigo kwa mzungu sipewi nanyimwa.

Muonekano wangu nipo vizuri tu na kwakweli laiti ningepata msichana ningefaidi sana kwasababu room unaishi mwenyewe nina mwezi sasa genye zinataka kunimaliza. Nimekuja kwenu watu wenye maujuzi mbali mbali mnisaidie nifanyaje nisome bila kuathiriwa na tatizo la genye.

Ndugu zangu natanguliza shukrani zangu za zati.
Your Not Serious....
 
Pambaff! Kata hivyo ndude uikabidhi ubalozini hadi umalize kusoma wakukabidhi ukiwa airport!
 
Unaznguaaa watuu tunakaa miakaa bilaa hayooo mamb jiwekee bizeee 2uuuu!!! Na pendaa kusomaa Sana'a vtabuuu!!!! Utàsahauu!!!
 
Hong Kong na wazungu wapi na wapi? Uko China kuna wabongo kibao wapo masomoni na kibiashara.
 
Ndugu wanajamvi,

Mimi kijana wa kwenu, nilipata scholarship mwaka huu kusoma masters nchini Hongkong. Ndugu zangu unalipiwa kilakitu but nachomiss ni kugegeda ndugu zangu kila nikiomba mzigo kwa mzungu sipewi nanyimwa.

Muonekano wangu nipo vizuri tu na kwakweli laiti ningepata msichana ningefaidi sana kwasababu room unaishi mwenyewe nina mwezi sasa genye zinataka kunimaliza. Nimekuja kwenu watu wenye maujuzi mbali mbali mnisaidie nifanyaje nisome bila kuathiriwa na tatizo la genye.

Ndugu zangu natanguliza shukrani zangu za zati.
Hata madukani umekosa? basi tafuta toy
 
We jichanganye umpe mimba binti wa kichina wazee wake wakufirigise na ma kungfu hadi ufe!
Kumbuka awamu ya 5 hii mkuu wa kaya hana simile usitegemee atatoa kitalu uokoke kama alivyookolewa Riz moko! Shaurilooo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom