Mkuu hakuna mwenye uzoefu na haya maisha ya hapa duniani. Iko hivi wewe ni wa thamani sana ndo maana mimi zamani nilikuwa sijui kuomba ila sasa najua. Zamani nikitaka kuomba nilikuwa natanguliza mahitaji mbele kama pesa na maisha mazuri ila kumbe nilikuwaa wrong kwa sasa nasali hivi "Ee Bwana wewe wavipenda vitu vyote ulivyoviumba ni mali yako nakushukuru kwa zawadi ya uzima unaonijalia mimi pamoja na familia yangu umetufanya jinsi tulivyo si kwa mapenzi yetu bali kwa wema wako usio na kipimo. Wajalie pia wagonjwa wote wapate afya-AMINANajua kufa ni lazma lakini wakati mwingine ukituliza akili ukaona /tizama kwa mwenye uelewa hakuna anaependa kifo.
Lakini kuna mda unawaza au hiki kifo kwa nini kimekuwepo ukiangalia ndugu jamaa marafiki waliokuwwa wako au kipindi unazika ukaqangalia marehemu alafu ukawaz ipo siku na wewe utakuwa kama wewe au ukawaza hivi mtu akifa anajisikiaje au huko aendako kukoje au anafanywa nini inauma sana, hapa ndio panakofikirisha zaidi.
Nifanyeje nisife!!!
Haiwezekani mkuu.Najua kufa ni lazma lakini wakati mwingine ukituliza akili ukaona /tizama kwa mwenye uelewa hakuna anaependa kifo.