Nifanyeje nirudi chumbani kwangu?

Kiberiti kimejaa njiti


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Du!! hapa hata usingizi haupiti yeye nasikia anakula mziki tu hana wasiwasi
Jipeleke kwa mmeo ukaombe msamaa. Ni kosa kubwa mwanandoa kuama kitanda unapotofautiana na mwenzako. Sasa wewe umeama chumba kabisa, kama ni hasira bora ungeama kabisa nyumba ukarudi kwenu.

Kwa kosa hilo lako limepunguza nguvu kosa au limefuta kabisa kosa la mmeo. Ni wajibu wako sasa kumuomba yeye msamaa kwa kutoroka chumbani!

Ni sawa na kwenye mpira ukichezewa foul ukanyanyuka na hasira zako ukampiga au kumsukuma aliyekuchezea rafu basi unatolewa nje ya uwanja.

Hivyo kama ulivyo mpira, kwenye ndoa pia inabidi ujue kuwa foul zipo, na usiweke hasira zako mbele utatibua mwisho jamaa akulime kadi nyekundu na kukutoa nje ya ndoa kwa maana kwamba ndoa inakuwa imekushinda.
 
Chojoa viwalo vyote halafu kamgongee mlango akifungua tu mrukie na mabusu... problem solved

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa inabidi utambue kuwa, tangu siku ulipohama chumba mpaka leo "Unalala nje ya ndoa..!"
 
Nimecheka sana,yani sijui ulitegemea mumeo ndio aje akuombe msamaha huko chumbani ulipo hamia??
Binafsi yangu mie siwezi kumuomba msamaha mwanamke hata Siku never ever!
 
Na kama mzinguaji alikuwa mwanaume afu mwanamke arudi kuomba msamaha aiseee maisha yake yatakuwa ya ivoivo....kakosewa yeye anaomba msamaha
Hata kama mzenguaji ni mwanamme inategemea na namna mwanamke alivyokabiliana na hilo kosa la mshkaji.

Umenishika na mpango wa kando, unaniambia "siwashangai ndivyo mlivyo kwenu nyote ni malaya, mpaka mama yako" hapo tegemea ishu kukugeukia bibie
 
Nyege zimeshakukamata, ulifanya maamuzi mkurupuko we rudi tu kimyakimya au mwambie jamaa mapema kuwa unataka mgegedo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…