Nifanyeje nirudi chumbani kwangu?

Bt yeye ndie mwenye kosa ujue
Kama kakosea yeye na haoni sababu ya kujirudi kwa mkewe akafikiria labda alimuumiza wacha waongee yaishe aisee uyo mwanaume yupo tu kwene ndoa basi kwa vile alioa hana namna anashindwa kutoka, vumilia ilo ni fungu lako.....lakini ungeingia tu ukatandika kitanda fresh ukapanda ukalala kimyaaa usiangaike kutaka ye ajishushe
 
Mkewangu alimikemea san kisa tu nimetoka kuangalia mpira jioni na nilimuaga akaninunia kabisa , baasi bwana mtu hasemi na mimi nikaondoka nikaenda bar kumeza bia muda wa saa tisa naingia hom nakuta mtu yupo macho anatweta tu kwa hasira na wala hanisemeshi nilokaa kimya siku 3 tu akatishia kunywa sumu yeye na watoto baasi nika mwambia dada kalete sumu ya panya ya elfu kumi akaleta nikakoroga na maji nusu ndoo nika mwambia dada kamwambie mzigo upo tayati annywe na awaweshe watoto,wakati huo nipo nje ma simu nazuga naongea na mchepuko asee hakunya wal nini na alikuja kupiga magoti nakuomba msamha ,mpaka wa leo u sister du umemuisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpigie simu ndugu yako aje alale,alafu ww utarud chumban kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nyumba mnaishi wenyewe mbake jamaa hapo sebuleni, au mtegeshe wakati anaenda kuonga akiingia bafuni fanya na ww unataka kuoga kuna sehemu unawahi so kama imekuwa lazima fulani muoge wote maana hautaweza kusubiri amalize, hiyo ni foul ndani ya box lazima itawekwa penati jamaa atakula mzigo ndo kihivyo unarudi mdogo mdogo halafu vitu unarudisha moja moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
....Umeniwahi Mkuu Shibudee. Nami nilitaka kugongelea hapo hapi...JISHUSHE...hakuna utakachopoteza lakini kila mtu akijifanya kichwa moto hamtaishia kutengana vyumba tu bali utashaa unarudi kwenu!
JISHUSHE...Huna cha Kupoteza kwa kujishusha na kuna Ushujaa wa aina fulani kwa kufanya hivyo.
Kumbuka, mwanamke mjinga huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu Mnabuni mbuni Akh Mbinu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mchezo wa hatari sana kunamjinga anaweza fanya kweli yaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiwaona Wazazi na Bibi Zetu WAMEDUMU katika Ndoa Zao Unadhani Haya Yalianza Kwetu Tu Hata Wao

Lkn Walikuwa na Neno Busara na Kujishusha
Mm nahasira ww Unahasira Unadhani What next

Na sikuhizi Au Dunia Yaleo Kuishi Na Mwenza Nitaabu sana Mtu Anaweza Kutafutia Sababu Ndogo tu Na Ikawa Kwaheri Mwalimu..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni hizi zama za haki sawa, mwanamke akipeleka hili neno haki sawa kwenye ndoa hapo hakuna ndoa vinginevyo mwanaume asiliti uanaume wake ajishushe tu awe ndo ameolewa, Zamani hizo hakuna hili neno so mwanamke akishaolewa anajua neno moja ndoa ni uvumilivu japo na wanaume wengine walizidi kipimo pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mvizie akiwa chumban,ingia ukiwa uchi au ukiwa umevaa chupi nyeupe isiyo na doa lolote ,naiman utakuwa umeweza kumfunga paka kengele mana kwa style hyo hawez kuvumilia lazma akupe ule muwa ulozamisha meli ,ila chunga sana ukijifanya na ww n kauzu anaweza kukuacha na kudai sizitaki mbichi hiz,utarud kwenu kwa aibu na kujiapizia Mali utaipata shamban.



OVA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…