Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,000
Ulivyochunguza zinatokana na nini?
1.Umeachwa?
2.Huna Hela?
3.Umesimamishwa kazi?
4.Una magonjwa?
Yaani hata exact cause sijui!!
Ila niko full of stress hadi naogopa!!
Jaribu kufanya kile kitu ambacho unakipenda sana, kama vle kuchek movie,kusikiliza music n.k. Nazan vtakusaidia. Pole sana
Ok una demu? Je mara ya mwisho kuwa naye lini? Je mna good relationship?
Nimewahi kuwa na demu miaka ya nyuma,ila tuliachana kitambo,na miaka yote nimeishi single bila shida yoyote.
Ok tatizo lako nishalijua!!! Kama una kipato kidogo ebu tafuta mrembo unayevutiwa naye akuondolee stress!!! Kuchuja kunaondoa stress sana mkuu ebu pitia sredi za MziziMkavu ,mupenzi atakua anakufanyia massage +kuchuja jaribu stress zote zitaondoka!!
Kuna stress nyingi..ila zinazoumiza (mf mimi)
Kuachishwa kazi
Kuwa na ugomvi na mpenzi/mume/mchumba nk
Nyingine naweza kuhandle hizo mbili huwa ngumu sana kwangu................
Sasa wewe unastress ya nini kuwa wazi kama huelewi basi unamatatizo mno lazima ujue nini shida.......
Nahisi kinachokupa stress ni JF, nadhani unajiuliza maswali mengi sana kwa nini mada zangu zinafutwa, kwa nini wanataka kunipiga ban bila kosa, kwa nini watu wananikosoa sana humu na mambo mengine kama haya, ila usijali sana mambo yatakaa sawa tu. Pole.
Mkuu Dena Amsi,ngoja nijitathmini,maana najisikia mpweke with dark future!!
Ngoja nitulie,lazima kuna tatizo mahala.
Wadau,nina stress kupita kiasi!!
Je,ni njia gani bora ya kupunguza au kuondoa kabisa stress?
Maana naogopa hali ikizidi hivi naweza nikajidhuru!
Msaada wenu Chit Chatters,namaliza vipi stress?
Wadau,nina stress kupita kiasi!!
Je,ni njia gani bora ya kupunguza au kuondoa kabisa stress?
Maana naogopa hali ikizidi hivi naweza nikajidhuru!
Msaada wenu Chit Chatters,namaliza vipi stress?