Nifanyeje kumenteini mapenzi yangu?

bishankara

Senior Member
Feb 21, 2012
140
8
Jamani ninaye mpenz wangu, nampenda sana na naamin na yy ananipenda pia. Najitahd kumpenda na kuwa mkweli na muwazi tena pasipokumsaliti ingawa mm na yeye tunaishi mbali kwa zaidi ya kilometa 1600. Nampenda sana. Je ni kitu gan naweza fanya ili abaki kuwa wangu wa maisha?
 
Kufunga ndoa baada ya kumshirikisha Muumba wenu, then muamue kuishi pamoja; kazi waweza pata nyingine lkn mpenzi si rahisi!
 
Jitahidi ili muweze kuondoa umbali uliopo kati yenu...Long distance relationship huwa inaleta majaribu mengi sana katika mapenzi na hatimaye uhusiano kuvunjika.

Last edited by a moderator:
Endelea kumpenda, mjali kwa hali na mali na umuheshimu, mengine mwachie mungu.
 
Ushauri wako ni mzur, lakn distance kwa sasa bado haijawezekana kuiondoa. Mm namuomba Mungu na ananijalia kwan ninayo spirit ya uaminifu. Namuombea na mpenz wangu awe hvo.
Jitahidi ili muweze kuondoa umbali uliopo kati yenu...Long distance relationship huwa inaleta majaribu mengi sana katika mapenzi na hatimaye uhusiano kuvunjika.

Last edited by a moderator:
Ushauri wako ni mzur, lakn distance kwa sasa bado haijawezekana kuiondoa. Mm namuomba Mungu na ananijalia kwan ninayo spirit ya uaminifu. Namuombea na mpenz wangu awe hvo.

Jitahidi ili kwa namna moja au nyingine muweze kuiondoa especially kama wote mngependa kufanya hivyo...Kila la heri.
 
muoe ndio atakua wako wa milele kama mtaamua kua waaminifu baina yenu
 
muoe ndio atakua wako wa milele kama mtaamua kua waaminifu baina yenu

kumuoa siyo tatizo lkn kulingana na mipango yetu, kalenda inaonyesha mwaka kesho mwishoni utaratibu wa kuoa unaanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…