Nifanyeje kuhusu Ili?

Achana nae njoo kwenye bungalow langu tukae wote
 
Kwenye miti hakuna wajenzi, yaani mbususu inajileta jamaa anachelewesha. Wewe ukienda anza kukaa wiki unaondoka, unakaa wiki mbili unaondoka, unakaa wiki tatu one nk. Siku ukiondoka atakuwa amekuzoea ataanza kusema usiondoke had nikuruhusu! Imetoka hiyo.
 
 
Sema umefukuzwa na mwenye nyumba ili akustili kwa muda,ukishindwa Hilo utakuja kutoa ushuhuda hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…