Nifanyeje kuhusu huyu mwanaume

Nifanyeje kuhusu huyu mwanaume

Nilikuwa nikimtumia text wasap hajibu badae nikaamua kumblock lakini hasira zilivyoisha nilimu unblock nilivyomu unblock nikakuta picha kwenye status ya yeye na mwanamke! Nilivyomuuliza akasema kweli hiyo ni picha yake Ila uyo sio mke wangu nilipata hasira kwasababu picha inaonekana wapo chumbani. Alikili na kuniomba msamaha na kuniambia ananipenda na ananiheshimu pia nimsamehe atanielewesha vizuri kusu iyo picha sasa kila nikitaka kufifisha mawasiliano ananipigia sim au akinion nipo wasap ananitext na ninashindwa kumu block cause Nina mtoto wake.nifanyeje.na saiz nikitum text hajibu nisipomtafut anatuma text
Pole mrembo uko wapi
 
Nimejitahidi kukuelewa ila hebu pitia uzi huu kwanza.



Nikiwa kidato cha nne kuna mshkaji alimpa mimba binti wa kidato cha pili. Binti akagoma kutoa kwa kuogopa kufa hivyo jamaa ikabidi aende kujisema.

Alienda yeye, baba yake na mjomba ake.

Kufika baada ya intro, akaitwa binti akaulizwa akajibu kua ni kweli mwenye mimba ni yule jamaa. Basi baba wa binti akanyanyuka akaingia ndani, dakika moja mbili akaibuka na shotgun.
Mshkaji wangu anasema kwa akili ya fasta akakimbilia kujificha nyuma ya baba yake, baba alivyoona vile akamkwepa mtoto.

Ikawa baba na mshkaji ndiyo wanawindana. Mwisho jamaa alivyoshindwa kukaa nyuma ya baba akachuchumaa kaweka mikono kichwani. Mama wa binti akafika na kuanza kumtuliza mume, binti kilio kwa kasi halafu baba matusi ya kizungu tu yanamtoka. Zile blalifuli, na blali basket zinatoka kwa wingi mno.

Mwisho baba wa binti akataka ahadi ya ndoa. Jamaa na baba wakaitoa, baada ya kidato cha nne ndoa ikafungwa. Na muda wote jamaa alikua anasema hamtaki binti.

Umemsahau anko au siyo? Anko alichoropokea getini wakakutana naye nyumbani.

So ndoa yao ilichagizwa na mimba na hakuna ambaye alimpenda mwenzie.
 
Mwambie awe anamjulia hali mwanae hata kam hataki kuwa na mahusiano nawe tena.
 
Nikimwambia Mimi na wewe basi atalalamika sana kwaiyo ndo umeamua kuniacha mambo mengi ataongea ya kulaumu laumu ataki tuachane
Mkuu vipi jamaa anatoa matumiz ya mtoto?
 
Wewe ni mwanamke mpumbavu....
That's it.
Haufai kushauriwa, kwasababu hauna uwezo wa kujisimamia na pengine haujui nini ukitakacho.
Bahati mbaya yako, haujui kwamba kuzaa nawanaume ambae sio mume wako sio ulemavu
 
Mapenzi bhana yanapunguza kwa kiasi kikubwa uwezo WA watu kufikiria
 
Bro hata sio kosa lake, mapenzi yanaweza kukuvuruga ukawa zombi
Heheh!!

Bi mkubwa anaoneka she's upset and not upset at the same time...

Ila ninachomuelewa ni kama anahitaji msaada wa jamaa kutunza mtoto...

Unfortunately jamaa naye ndio mtu wa totoz, katupa boga na ua lake...
 
OK mkuu kama anatoa matumizi hakuna haja ya kuumiza kichwa,mjari mwanao tu ,hata asipokuoa kuna wanaume wengi sana,ila vumilia yaweza kuwa upo under investigation
 
Heheh!!

Bi mkubwa anaoneka she's upset and not upset at the same time...

Ila ninachomuelewa ni kama anahitaji msaada wa jamaa kutunza mtoto...

Unfortunately jamaa naye ndio mtu wa totoz, katupa boga na ua lake...
Nnachomuhurumia tu ni kaweka kambi na uhakika juu ila jamaa chenga (ukweli mchungu) ukiona mtu anaonesha watu wake wa pembeni hadharani taa nyekundu hiyo!!!
 
Back
Top Bottom