Anita Baby JF-Expert Member Joined Oct 2, 2011 Posts 1,265 Reaction score 541 Oct 6, 2011 #1 Na2mia nokia xpresmusic 1530. Kila nikidownload video naambiwa invalid web seting. Nifanyeje?
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,828 Reaction score 1,318 Oct 7, 2011 #2 Configuration za simu yako hazipo sawa....kama vp nenda ofisi za provider wako (i.e Voda, TIGO ZAIN) waambie kuhusu hiyo error watakusaidia...
Configuration za simu yako hazipo sawa....kama vp nenda ofisi za provider wako (i.e Voda, TIGO ZAIN) waambie kuhusu hiyo error watakusaidia...
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,358 Oct 15, 2011 #3 Ey Nita jus nenda kwenye settings den kwenye Configrtns den make em default kwenye all all appl.
G M S JF-Expert Member Joined Mar 30, 2011 Posts 502 Reaction score 53 Oct 16, 2011 #4 Anita baby said: Na2mia nokia xpresmusic 1530. Kila nikidownload video naambiwa invalid web seting. Nifanyeje? Click to expand... unatumia mtandao gani?
Anita baby said: Na2mia nokia xpresmusic 1530. Kila nikidownload video naambiwa invalid web seting. Nifanyeje? Click to expand... unatumia mtandao gani?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,229 Reaction score 44,239 Oct 16, 2011 #5 mi sjaelewa huwezi kuingia web au huwezi kudownload? Maana ni ajabu web iingie then kudownload ikatae then tuseme tatizo ni configuration. Halafu kitu chengine kikubwa hamna nokia inayoitwa 1530 xpressmusic emb angalia tena aina ya simu yako
mi sjaelewa huwezi kuingia web au huwezi kudownload? Maana ni ajabu web iingie then kudownload ikatae then tuseme tatizo ni configuration. Halafu kitu chengine kikubwa hamna nokia inayoitwa 1530 xpressmusic emb angalia tena aina ya simu yako
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,358 Oct 16, 2011 #6 Alimaanisha 5130 banah....
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,229 Reaction score 44,239 Oct 16, 2011 #7 haya kama kamaanisha hivo basi achunguze aina ya video anayodownload na ni vizuri kudownload na browser ambayo si ya simu kama opera na ucweb
haya kama kamaanisha hivo basi achunguze aina ya video anayodownload na ni vizuri kudownload na browser ambayo si ya simu kama opera na ucweb
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,358 Oct 16, 2011 #8 We msukuma? Mbona huelewi? Mm nlishatumia hiyo simu na najua hilo tatizo xana tuu! Na ipo njia nyingine ya kuisolve ila complicated! Usibishe kushinda yo Abnoxious man...
We msukuma? Mbona huelewi? Mm nlishatumia hiyo simu na najua hilo tatizo xana tuu! Na ipo njia nyingine ya kuisolve ila complicated! Usibishe kushinda yo Abnoxious man...