mbasajohn JF-Expert Member Joined Mar 14, 2009 Posts 247 Reaction score 39 Jul 21, 2011 #1 Nimefungua group hapa JF ila natak kubadilisha jina lake kutokana na ukweli kuwa malengo na mtizamo wa group umebadilika kidogo. naomba msaada jnsi ya kubadilisha group name, maana naona option za kuedit vitu vingine ila sio group name.
Nimefungua group hapa JF ila natak kubadilisha jina lake kutokana na ukweli kuwa malengo na mtizamo wa group umebadilika kidogo. naomba msaada jnsi ya kubadilisha group name, maana naona option za kuedit vitu vingine ila sio group name.