MWILI NYUMBA
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 817
- 256
Natumia mini Tablet ya Samsung Galaxy tab 2 GT-P3100 ile ambayo WLAN + Celullar, Nimejaribu mara kadhaa kuistall JF inanikatalia. Imekuwa inani-direct Google play store lakini nimeangalia kwenye devices zinazo support goolge play store naona hii ya kwangu haijawa mentioned. Je kuna namna yeyote naweza fanya? Os yake ni Android.