Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
AhsanteKikubwa jipende, jikubali na kubaliana na changamoto zako kwa njia chanya na zaidi usijilaumu kwa yaliyopita.
Pole sana
SawaFanya ibada
usijifungie ndani peke yakoHello JF,
Nifanyeje ili niwe na furaha sababu nowdays nimekua sina furaha then muda mwingi nina stress nifanyeje kuondokana na hii hali.
Ushauri please!
SawaSali sana.
Ahsante kwa ushauri wako mkuu,barikiwa.Okoka utakuwa na furaha hata kama utakuwa na changamoto ya aina gani. Hiyo hali huwapata watu wengi bila kujali muonekano wao wa nje. Huwa inatokeaje, ni kuwa wakati ukiwa unasoma shule, unatamani umalize upate cheti, ukipata cheti unatamani upate kazi, ukipata kazi unatamani kuoa/kuolewa, ukioa/kuolewa unatamani upate watoto, ukipata watoto unatamani upate maisha mazuri nyumba nk, Mungu akikupa bado unatamani upate furaha. Maana furaha ya kweli haipatikani katika hivo vitu vyote.
Ok mkuu ahsante kwa ushauri,hizo gramu 500 nakula kwa muda gani?Kula gram 500 ya mbegu za maboga,,,na jaribu kufanya changa moto ziwe chanya