Nifanyeje Ili Nimsahau

Nifanyeje Ili Nimsahau

Mary luciani

Member
Joined
May 8, 2014
Posts
58
Reaction score
12
Wana Mmu Nahtaj Mawazo Yenu,naitwa Mary Nilikuwa Na Mpenz Tulipendana Xan,tumekuwa Pamoja Kwa Mwaka Xaxa.Tulivumiliana Xana.Alitaman Xana 2pate Mtoto Ila Nahisi Mungu Hakupanga Akahc Labda Natumia Kinga Akaanzixa Tabia Anaondka Haachi Hela Ya Ku2mia Hata Cku Mbli,kuna Cku Akarud Akanitamkia Maneno Machafu Akinitaka Niondke Km Haitosh Alinipga Kipgo Km Mwizi Hlf Akanirudisha Kwetu Kiby Zaid Ananitangazia Vby Kwa Watu Hata Cjui Nifanyeje?Km Usaliti Ye Ndo Wa Kwnz Nilixamfumania Mara Tatu!Roho Inaniuma Kwn Nilimpenda Xana!
 
Nifanyeje?Km Usaliti Ye Ndo Wa Kwnz Nilixamfumania Mara Tatu!Roho Inaniuma Kwn Nilimpenda Xana!

unaweza kunifafanulia hapo chini kabla ya msaada zaidi??
Ninashindwa kumtongoza msichana japo nina sura nzuri na ni mtanashati
6th May 2014 11:58
barnaba alisema
Mimi ninashindwa kumtongoza msichana watu wengi wananisifia nina sura nzuri na ni mtanashati;

naombeni ushauri.
nawe ukamjibu
Mi Nakutaka Ila Km Una Chenchi Hlf Km Kwel Unamtaka Dem Umexndwa Ht Kuomb Namb Ya Cm Ukam2mia Sms Km Ulivyo2ma Jf?Am Nt Sure Njo Mi Mwnyew Nilikuwa Nataka Kidum
 
Pole sana dadaa, muda ni tiba sahihi kabisa ya tatizo lako, jaribu kuwa bize na shughuli nyingine usimuwaze sana baada ya muda utasahau. Kumbuka lazima maisha yaendelee. Mwisho kabisa uandish wako kama wa facebook haukubaliki jf.
 
Bring back our girls,
Kunywa maji usahau basi inatosha
Next time andika alphabeti za kiswahili fasaha
 
Wana Mmu Nahtaj Mawazo Yenu,naitwa Mary Nilikuwa Na Mpenz Tulipendana Xan,tumekuwa Pamoja Kwa Mwaka Xaxa.Tulivumiliana Xana.Alitaman Xana 2pate Mtoto Ila Nahisi Mungu Hakupanga Akahc Labda Natumia Kinga Akaanzixa Tabia Anaondka Haachi Hela Ya Ku2mia Hata Cku Mbli,kuna Cku Akarud Akanitamkia Maneno Machafu Akinitaka Niondke Km Haitosh Alinipga Kipgo Km Mwizi Hlf Akanirudisha Kwetu Kiby Zaid Ananitangazia Vby Kwa Watu Hata Cjui Nifanyeje?Km Usaliti Ye Ndo Wa Kwnz Nilixamfumania Mara Tatu!Roho Inaniuma Kwn Nilimpenda Xana!
Hujui kuandika vizuri?
xaxa ndo nini mmhhh
 
hivi nyie vitoto vya siku hizi akili zenu zipo matakoni eeh? hivi ni kipi hasa kinakufanya uweke "x" sehemu ambayo unatakiwa kuweka "s"?
Pumba.vu kabisa wewe ndo maana ukajipeleka kwa mwanaume bila hata kuolewa; na huyo mwanaume anakuona we ni libwe.ge na kwa ulivyoandika wala hajakosea kukuona hivyo. Lijinga kabisa wewe, ndo maana siku hizi mnachezewa.kama mpira wa kona.
 
Wana Mmu Nahtaj Mawazo Yenu,naitwa Mary Nilikuwa Na Mpenz Tulipendana Xan,tumekuwa Pamoja Kwa Mwaka Xaxa.Tulivumiliana Xana.Alitaman Xana 2pate Mtoto Ila Nahisi Mungu Hakupanga Akahc Labda Natumia Kinga Akaanzixa Tabia Anaondka Haachi Hela Ya Ku2mia Hata Cku Mbli,kuna Cku Akarud Akanitamkia Maneno Machafu Akinitaka Niondke Km Haitosh Alinipga Kipgo Km Mwizi Hlf Akanirudisha Kwetu Kiby Zaid Ananitangazia Vby Kwa Watu Hata Cjui Nifanyeje?Km Usaliti Ye Ndo Wa Kwnz Nilixamfumania Mara Tatu!Roho Inaniuma Kwn Nilimpenda Xana!

Hueleweki umeandika kifacebook zaidi
 
Back
Top Bottom