Nifanyeje Ili Nimsahau

Nifanyeje Ili Nimsahau

hivi nyie vitoto vya siku hizi akili zenu zipo matakoni eeh? hivi ni kipi hasa kinakufanya uweke "x" sehemu ambayo unatakiwa kuweka "s"?
Pumba.vu kabisa wewe ndo maana ukajipeleka kwa mwanaume bila hata kuolewa; na huyo mwanaume anakuona we ni libwe.ge na kwa ulivyoandika wala hajakosea kukuona hivyo. Lijinga kabisa wewe, ndo maana siku hizi mnachezewa.kama mpira wa kona.

Mmh mbona umemkandia sana...mnaugomvi kwani??
 
Wana Mmu Nahtaj Mawazo Yenu,naitwa Mary Nilikuwa Na Mpenz Tulipendana Xan,tumekuwa Pamoja Kwa Mwaka Xaxa.Tulivumiliana Xana.Alitaman Xana 2pate Mtoto Ila Nahisi Mungu Hakupanga Akahc Labda Natumia Kinga Akaanzixa Tabia Anaondka Haachi Hela Ya Ku2mia Hata Cku Mbli,kuna Cku Akarud Akanitamkia Maneno Machafu Akinitaka Niondke Km Haitosh Alinipga Kipgo Km Mwizi Hlf Akanirudisha Kwetu Kiby Zaid Ananitangazia Vby Kwa Watu Hata Cjui Nifanyeje?Km Usaliti Ye Ndo Wa Kwnz Nilixamfumania Mara Tatu!Roho Inaniuma Kwn Nilimpenda Xana!

easy mbona... akija mkaka mwengine mkubalie chap then pata mimba mbona utamsahau tu hadi kujifungua kichwa kitakuwa kina mengi kuhusu kijacho
 
Shosti Hayo maneno mpaka yakae sawa nimefanya kazi ya ziada, kuhusu X mpenzi wako , ivi mtu amekupiga Kama hakujui anakusemaaa vibaya sijui yote Hayo haiwi sababu ya kumsahau ? Ebu niambie kile khasaa unacho mpendea nini? Michezo Yake , size Yake , macho Yake midomo au zile ngumi anazo kutwanga nikipi?
 
Mbona ume jishushaa sanaaaaa hapo ndipo ulipo haribu nakumia juu? Ndiomana kakushibaa unamjazia chooo bureeee
 
Wana Mmu Nahtaj Mawazo Yenu,naitwa Mary Nilikuwa Na Mpenz Tulipendana Xan,tumekuwa Pamoja Kwa Mwaka Xaxa.Tulivumiliana Xana.Alitaman Xana 2pate Mtoto Ila Nahisi Mungu Hakupanga Akahc Labda Natumia Kinga Akaanzixa Tabia Anaondka Haachi Hela Ya Ku2mia Hata Cku Mbli,kuna Cku Akarud Akanitamkia Maneno Machafu Akinitaka Niondke Km Haitosh Alinipga Kipgo Km Mwizi Hlf Akanirudisha Kwetu Kiby Zaid Ananitangazia Vby Kwa Watu Hata Cjui Nifanyeje?Km Usaliti Ye Ndo Wa Kwnz Nilixamfumania Mara Tatu!Roho Inaniuma Kwn Nilimpenda Xana!

Kiswahili hiki kimechañgia kuachwa,..
 
Polee sana. Yule mtanashati anaeogopa kutongoza ndo amekusababishia kipigo??
 
mwanaume makini kamwe hawezi kuwa na mwanamke m..puuzi kama wewe...
nimeyagundua Hayo kupitia mwandiko wako....
ptuuuuuuuu....
 
Back
Top Bottom