Nifanyeje ili nikwee pipa?

Ntandaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
922
Reaction score
1,487
Jambo watanzania!
Toka nizaliwe sijawahi kwea pipa,natamani siku moja nipande na mimi ili nijionee ufahari wa dubwana hilo.Ndugu watanzania naombeni ushauri wenu namna ya kuifikia ndoto yangu.
Ahsanteni Kwa Kumakinika Na Kiu Yangu
 
Unatak kulikwea lini hilo pipa niweke mipango sawa
 
Kuna mambo mengine ni kujidharirisha tuu maana uckute hapo anamiliki sim ya laki 3 wakati kila mbili na nusu tuu anaosha ndani ya precision air.
Panga ratiba vizuri tuu utalikwea ila nakushauri utoke Dar to mwanza ufaidi vizuri ila mpunga unakuwa mrefu kidogo zaidi ya hiyo laki mbili na nusu
 
Harmorapa hivi karibu katangaza kukwea pipa.
 
Jambo watanzania!
Toka nizaliwe sijawahi kwea pipa,natamani siku moja nipande na mimi ili nijionee ufahari wa dubwana hilo.Ndugu watanzania naombeni ushauri wenu namna ya kuifikia ndoto yangu.
Ahsanteni Kwa Kumakinika Na Kiu Yangu

Tafuta pesa tu.

Mwenzako Masanja aliingia Darisalama na gari la viazi ila siku hizi kila akienda Ubaruku anakwea Mwewe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…