nifanyeje computer yangu isionekane?

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,439
huyu kaburu ni jarani yangu,ana wireless yenye speed kali sana,yaani download ni 12mbps,sasa nimeweza ku hack na kupata pasword yake,
kila siku tunakula internet ya bure,sasa issue hapa nikienda kwenye router yake naiona computer yangu
nifanyeje ili computer yangu isionekane kwenye router yake the same time nipo connected?
 
Acha wizi mkuu...akikugundua atakupiga risasi huyo...
 

Mkuu usitake tukufundishe jinsi ya kuiba kumbuka ukifundishwa wewe watajifunza na wengine kuiba kupitia uzi huu, kwann uwe tegemezi? kama yeye amepata kwa nini wewe usipate vyakwako pia, kipi alichokuzidi,pambana mkuu utoke kivyako usipende vya mteremko utakuja kuuu,,,,,,shauri yako.
 

hajaomba ushauri wa kwamba aibe au asiibe, kaomba mautundu mkuu
 
Mkuu kwenye ulimwengu wa IT hakunaga wizi kuna mautundu tuu...
 
Kama unataka asiione comp yako ifunike na majani ukimuona anapita( mwaya nakutania. ngoja wajanja wakusaidie wakishindwa nitakupa njia kabambe lakini ni ya ghali kidogo)
 
1. Click on the Windows "Start" logo
at the bottom of the desktop.
Select "Control Panel."
2. Type "network" in the search box
in the top, right corner of the
window. Click "Network and
Sharing Center."
3. Click on the blue link under the
router's network icon. It will read
"Public Network," "Home
Network" or "Work Network."
4. Click on "Public Network" in the
pop-up dialog box to hide the
computer from the router.
 

ndugu nipe na mm wireless internet, umetumia software gani, kama nitupie kwenye pm niipakue mie
pamoja mkuu
 

jambo la kwanza katika kuiba ni kujificha usijulikane, wewe umekuta tu mzungu hajaweka password, sikutegemea mtu mwenye uwezo wa kuiba wireless ashindwe kujilinda kuonekana
 
Haya majina mengine mnajipa ya nini wakati huna sifa hizo?- eti topthinker...dhihirisha utopthinker wako usionekane, unakuja na kurusha mate hapa!
 
Mkuu kwenye ulimwengu wa IT hakunaga wizi kuna mautundu tuu...
Usiishie hapo. Hebu jaribu kushughulisha ubongo wako. Wote waliokamatwa wakiiba fedha kwa njia ya mitandao wanaonewa?.... okey, got it,,, You might be infant in IT infantry. Well..... ain't your fault, sucks tho.
 
Haiwezekani usionekane kwenye Router, as long as you are connected utaonekana.
Kama kweli umehack password basi hiyo ni WEP mtu yoyote anayetumia WEP hajui kitu kuhusu security, sio rahisi akaanza kuangalia huko, jihadhari na kunyonya kwa fujo na kusababisha mtandao wote kuwa slow.
 
jambo la kwanza katika kuiba ni kujificha usijulikane, wewe umekuta tu mzungu hajaweka password, sikutegemea mtu mwenye uwezo wa kuiba wireless ashindwe kujilinda kuonekana

Kweli mkuu umenena nawasiwasi alitonywa pass keys anahisi naye ame hack
 
Usiishie hapo. Hebu jaribu kushughulisha ubongo wako. Wote waliokamatwa wakiiba fedha kwa njia ya mitandao wanaonewa?.... okey, got it,,, You might be infant in IT infantry. Well..... ain't your fault, sucks tho.
Teh seems ur not IT geek...
Ktika sheria za IT ili uwe system admi mzuri au coder au network geek mzuri ni lazima ujue namna ya kucheza na ku hack system za wengine...
 
mimi sijui ila hata mimi ningehack hiyo wireless kama ingekuwa karibu maana huku nilipo hoteli zote zinabadilisha password kila mwenz lakin ninazipata vile vile sembuswe hiyo tuu. hebu tupeni maujanja tusiwe tunaonekana aisee tena hii ni nzur kweli
 
Zaman 2likua tukisema ukiweka encryption kwa system ya WAP au WAP2 ndo wifi yako itakua secured tofaut na WEP
but 4 now nayo co secure tena!!,
Hapo kama huyo jiran ako ni mjanja,
lazma atakua na software iitwayo "who is on my wireless" hii n noma atakuona tu
ila kama sio mjanja utaendelea kumlia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…