Wanajanvi naomba msaada kuondokana na tatizo hili.Kwani anapenda sana kulamba lamba ata mimi ananilamba sijui chanzo ni nini?
Yaani ata nikitoka kazini nafungua gate utaona tu ameanza kutoa ulimi nje na kuanza kunilukia hapo basi anaanza kunilamba. Mbwa wangu huyu ata nikimpa chakula anaanza kunilamba mikono ata chakula analamba kwanza ndo anakula.
Msaada kama ni ugonjwa naomba msaada.
Huoni soni kujitangaza hadharani kwamba wewe unaf.....nywa na gu dogi!