Nifanye nn

Nifanye nn

rachel elikana

New Member
Joined
Nov 30, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Hi hope mko poa i want 2share dis with u guys coz dis things is killing me m in relationship with dis guy nampenda sana n its abt 3month now 2ko pamoja tatizo linakuja jamaa ana demu yupo kigoma na cc 2po arusha huwa wanawacliana nikimuuliza ananiambia nicwaze nimpe muda kila ki2 kitakua sawa coz mapenz ya mbali hayadumu the thing is can't be patient anymore nampenda sana wat should I do?
 
sasa c unajua ana mwingine si ung'atuke tu
mpaka anaendelea kuwasiliana nae ina maana bado anampenda
alafu pia kwann akufiche...
changamka eti ucje lizwa
 
wat u can do is accept the fact that u his sexmate.
 
Vijana wa siku hizi mnataka kila kitu mtafuniwe ndiyo mmeze. Wewe unajua anademu Kigoma kama ulivyosema, halafu eti mapenzi ya mbali hayadumu kwa namna hiyo basi hata wewe siku ukienda mbali kidogo tu jua atadaka mwingine sasa sijui hapo mapenzi yako wapi.
By the way wewe anakutumia tu kukidhi haja zake za muda ila demu wake halisi ni huyo aliyeko Kigoma.
 
Duhh kweli love ni blindness unang'ang'ania nini hapo mbona wanaume tupo wengi...tena mi nipo single ebu npm namba....kwann ukae sehemu ambayo unajuakabisa utaachwa
 
Hi hope mko poa i want 2share dis with u guys coz dis things is killing me m in relationship with dis guy nampenda sana n its abt 3month now 2ko pamoja tatizo linakuja jamaa ana demu yupo kigoma na cc 2po arusha huwa wanawacliana nikimuuliza ananiambia nicwaze nimpe muda kila ki2 kitakua sawa coz mapenz ya mbali hayadumu the thing is can't be patient anymore nampenda sana wat should I do?

pole sana. we komaa si unaona kigoma mbali. fimbo ya mbali haiui nyoka.
 
Jitokeze,simama chukua hatua, kama unaweza tumia takwimu mme mmoja kwa wanawake.......!! Tafakari

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kama kuna mtu amemuelewa vizuri naomba arudie kuandika huu uzi ili na wengine tumuelewe
 
Kuanzia wewe na mwenzako haziwatoshi
tukushauri nini sasa wakati ushaambiwa kuwa ana demu na ukaambiwa kuwa yupo mbali na haumizi endelea tu kuwa kwenye mtandao saizi mko wawili muda mtafika kumi mwisho mtakuwa kama ukoo
ukiweza kuutunza upuuzi na ujinga moyoni hauna tofauti na kichaa anayeokota uchafu mtaani
ni hayo tu
Hi hope mko poa i want 2share dis with u guys coz dis things is killing me m in relationship with dis guy nampenda sana n its abt 3month now 2ko pamoja tatizo linakuja jamaa ana demu yupo kigoma na cc 2po arusha huwa wanawacliana nikimuuliza ananiambia nicwaze nimpe muda kila ki2 kitakua sawa coz mapenz ya mbali hayadumu the thing is can't be patient anymore nampenda sana wat should I do?
 
Hi hope mko poa i
want 2share dis with u guys coz dis things is killing me m in
relationship with dis guy nampenda sana n its abt 3month now 2ko pamoja
tatizo linakuja jamaa ana demu yupo kigoma na cc 2po arusha huwa
wanawacliana nikimuuliza ananiambia nicwaze nimpe muda kila ki2 kitakua
sawa coz mapenz ya mbali hayadumu the thing is can't be patient anymore
nampenda sana wat should I do?

Be simple, but not cheap
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom