nickottinne619
Member
- Dec 17, 2012
- 9
- 0
Jamani naomba maoni kwa jambo hili linalontatiza.....best friend wangu ambae ni rafiki wa gf wangu ametokea kunpenda zaid ya upendo 2liokua nao wa kirafiki...mimi sitaki kumuumiza gal wangu na yeye pia...nifanye nn kumsaidia?