Nifanye nini?

Nifanye nini?

Wazazi wake wanajua kwamba umemmimba? Kama hawajui ni wakati muafaka mkifunga safari kuwatembelea na kuongea na mamkwe baadhi ya kero za mjukuu wake mtarajiwa atakushauri vema.
 
hata kama but hari yazidi kuwa tete dah@ hapa muda huu kaniambia ety nimsimulie hadithi hili apate usingizi dah...
 
haaaa hapana sasa usiku huu anataka nikamnunulie chipsi kuku ntapata wapi now jamani haaaaaaaaa@ nisaidien jamani dawa yake ni nini ?
 
hahahahhah jikaze baaaba!
we ulijua wazazi wanazokuwa wakali na watoto wao ni akili zao tu za wehu! enh!
kalete mishkaki huko!sasa ole wako uiweke kwenye foil wakati mi nataka iwekwe kwenye gazeti la sani!UTAJUTRAAAAAAAAAAAAA!
Hahahahaha kuna watu walipenda soda ya sprite na ikishafunguliwa tu hamu yooooote imeisha unaanza kutamani ndizi za kuchoma yaani unakuala kwa hisia, jamani mimba kazi sana. Sasa kijana jikaze ndo ukubwa huo ulidhani kuzaa lelemama
 
Muonyeshe upendo wa hali ya juu katika kipindi hiki cha mpito.
 
Pole kijana It might seem like forever lakini itapita tu.

I have been pregnant for more than 5 times tena pregnancies zenye misukosuko na sijawahi kuwa na demands za ajabu ajabu, Pregnancy ni wakati wa wanandoa kusolidify mapenzi yao hakuna feeling nzuri kama kujua siku si mbali na nyinyi mtakuwa mmeleta kiumbe mdogo huku dunia. Ukuifikiria hivi the pain and struggle vinakuwa ni vitu vidogo sana.

I wish you all the best
 
mmmmmh best ya mayai na bata ninaweza kukubali lakini ya kupiga story usiku wa masaba na matisa hapana hiyo ni too much

hua kunamimba zinakosesha usingizi Asnam
wengine hua tunageuka na kuangalia movie,ila wa kwake
anataka story ndivyo inavyomtuma,avumilie tu!!
 
Last edited by a moderator:
Dawa yake ni kugonga kavu kwa kwenda mbele hadi siku ya kujifungua, hapo utakuwa umeondoa karaha zote, na inavyoelekea huyo mtoto atakuwa ni wa kiume. Enjoy bhana hamna haja ya kuteseka hivyo. kwa maelezo zaidi pata ushauri wa daktari juu ya mikao inayofaa
Kumpiga siwezi....kukimbia nyumba siwezi....kumwacha siwezi maana nampenda zaidi ya nafsi yangu...nabaki kuumia tu kiti changu ofisini ndokimegeuka kitanda changu....maana usiku silali nikilala cha moto nakiona ety nipige nae story usiku wa manane kweli?....nikichelewa kurudi hata dk.10 basi kanuna ....mala anataka kuku mara mayai ya bata ukimletea hataki kula aaaah ......haaah wanawake mtatuua na hizo mimba jamani@ nilikuwa nasimuliwa tu ss najionea kwangu so tired mimba gani hiyo inantesa hv....najuta kukupa mimba@
 
Timiza wajibu wako banaa kama Baba mtarajiwa!!! acha kulalamalalama kwani hiyo mimba ataibeba milele!!!? Ni miezi tisa tu na hiyo adha utaisahau kabisa baada ya kukishika kichanga chenu mikononi mwako.

Kumpiga siwezi....kukimbia nyumba siwezi....kumwacha siwezi maana nampenda zaidi ya nafsi yangu...nabaki kuumia tu kiti changu ofisini ndokimegeuka kitanda changu....maana usiku silali nikilala cha moto nakiona ety nipige nae story usiku wa manane kweli?....nikichelewa kurudi hata dk.10 basi kanuna ....mala anataka kuku mara mayai ya bata ukimletea hataki kula aaaah ......haaah wanawake mtatuua na hizo mimba jamani@ nilikuwa nasimuliwa tu ss najionea kwangu so tired mimba gani hiyo inantesa hv....najuta kukupa mimba@
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom