Nifanye nini?

Nifanye nini?

ndusyepo

Senior Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
167
Reaction score
50
Kumpiga siwezi....kukimbia nyumba siwezi....kumwacha siwezi maana nampenda zaidi ya nafsi yangu...nabaki kuumia tu kiti changu ofisini ndokimegeuka kitanda changu....maana usiku silali nikilala cha moto nakiona ety nipige nae story usiku wa manane kweli?....nikichelewa kurudi hata dk.10 basi kanuna ....mala anataka kuku mara mayai ya bata ukimletea hataki kula aaaah ......haaah wanawake mtatuua na hizo mimba jamani@ nilikuwa nasimuliwa tu ss najionea kwangu so tired mimba gani hiyo inantesa hv....najuta kukupa mimba@
 
wengine wanawafanyiaga makusudi
ukiwa mzembe utaendeshwa kwa kisingizio cha mimba
AMKA
 
umebakiza kupewa zamu ya kumbeba mgongoni hadi atakapopata usingizi,,,,,,na ww umekubali tu kunyanyasika kwa kisingizio cha mimba,unahisi miezi tisa ni muda mfupi eeeh pole yako bwana mdogo maana hadi ajifungue utakuwa umekuwa tripple slim
 
Kumpiga siwezi....kukimbia nyumba siwezi....kumwacha siwezi maana nampenda zaidi ya nafsi yangu...nabaki kuumia tu kiti changu ofisini ndokimegeuka kitanda changu....maana usiku silali nikilala cha moto nakiona ety nipige nae story usiku wa manane kweli?....nikichelewa kurudi hata dk.10 basi kanuna ....mala anataka kuku mara mayai ya bata ukimletea hataki kula aaaah ......haaah wanawake mtatuua na hizo mimba jamani@ nilikuwa nasimuliwa tu ss najionea kwangu so tired mimba gani hiyo inantesa hv....najuta kukupa mimba@

Miezi yenyewe tisa tu, vumilia bana!
 
kuchapa uchape wewe, kuchuja uchuje wewe, kitambi aote yeyeeee..... mateso iwe kwakooo...majanga.
 
mmmmmh best ya mayai na bata ninaweza kukubali lakini ya kupiga story usiku wa masaba na matisa hapana hiyo ni too much

sasa hapo tunamwambiaje best!!!!

aendelee kulala ofisin,ajitahidi though kipindi
hiki ndio most men wanajitaftiaga nyumba ndogo
 
kitambi kilijiotea tu......bila yeye kuingiza mkonga wake kule
kitambi kingeota tuuuuu

xaxa kama yeye kaoteshwa uyoga kwanini majanga amuangushie mdau? nataka kachori...ukileta sitakii, nataka miguu ya kuku na utumbo, ukileta mie sitakii.....mbona majanga tena majanga.
 
xaxa kama yeye kaoteshwa uyoga kwanini majanga amuangushie mdau? nataka kachori...ukileta sitakii, nataka miguu ya kuku na utumbo, ukileta mie sitakii.....mbona majanga tena majanga.

ye alijujua raha ni moja tu,kufikishana kilele cha mlima kilimanjaro!!!!

huo ni mwanzo,there is a lot to come
 
hahahahhah jikaze baaaba!
we ulijua wazazi wanazokuwa wakali na watoto wao ni akili zao tu za wehu! enh!
kalete mishkaki huko!sasa ole wako uiweke kwenye foil wakati mi nataka iwekwe kwenye gazeti la sani!UTAJUTRAAAAAAAAAAAAA!
 
hamuwadekezi wake zenu wakiwa mabebs mpaka wanawasubiria kwa hamu wakizibeba!
ahahahhahahhaa GANGAMALA!
 
sasa hapo tunamwambiaje best!!!!

aendelee kulala ofisin,ajitahidi though kipindi
hiki ndio most men wanajitaftiaga nyumba ndogo

sasa akilala ofisini pato litaongezeka vp best,,,atajikuta nyumbani anapoteza na kazini pia kisa ni mimba mmmh.
 
Wengi wetu wanaume huwa tunapata kidogo shida haswa pindi wake zetu wanapokuwa wajawazito...

Kwa uelewa wangu pamoja na kuwa mimba hubebwa na mwanamke lakini utunzaji wake ni jukumu la wanandoa wote...

Ni vyema kukumbuka kuwa uhai wa kichanga uanzia kwenye kiuno cha mwanume, na huhifadhiwa kwa muda kwenye tumbo la mwanamke...
Suala la kuchagua vyakula, kuwa na moods tofauti ni tatizo dogo tu la mabadiliko ya vichocheo kutokana na vipindi tofauti vya mimba...

Wajalini wake zenu wakiwa wajawazito, sio muwe mnaona raha tu kudinyana halafu zigo likiitika basi mnaanza mashauzi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom