Nifanye nini..?!

^^
Haya mapenzi ya mbali wakati mti haujatoa matunda,,ni kama ka tangazo kadogo ka kuachana ambako hakajalipiwa
^^
Hahahahahaha leo ameptikana mbona mnamtisha hivyo mwenzenu jamani lol. Maana sipati picha ya hako katangazo ambako bado hakajalipiwa jinsi kanavyoweza kupigwa kibuti na matangazo makubwa yaliyolipiwa. Cha msingi wewe kaka kaaa na mchumba wako kisha mueleze wasix2 wako then msikilize na yeye anasemaje. Hii itawasaidia kwani mtakua kwenye page moja. Halafu baada ya hapo wote muamue kuwa waaminifu kwenye uhusiano wenu maana hiyo ndio nguzo pekee whether mko mbali mbali au mnaishi pamoja.
 

hahaha..! Shost watu wabayaa, yaani wanamtembezea vitisho mwenzao wanazidi kumjazia presha kaah!!!!!!
 



ahsante sana, kwa ushauri wako chanya..!!
 
duuh,sipati picha wazungu na washkaji,mabosi watakavokua wana mdungua huyo binti na hivi unasema kanona kila siku atakua anadunguliwa,.!



nimekuelewa sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…