Kumbe ni wewe unayemzingua mchepuko wangu!
Ashalalamika sana juu yako, kuwa kakukopesha na hurudishi pesa yake na zaidi unamzingua.
Halafu mkuu ulikuwa umeamua kuoa kabisa huyu mchuchu! Yaani ukaridhika kabisaaaa!
Acha niendelee kumliwaza mdogo mdogo usimzingue demu mkali kama huyu aisee.