Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,262
Mithali 1 : 7 'kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa' hebu mrejee Mungu ukitubu dhambi ya kuiba mke wa mtu huku ukijua fika kuwa ni makosa, na Mungu atakupa maarifa, hata hivyo usirudie tabia hiyo mbayakiukweli miaka 7 iliyopita nilikuwa na uhusiano na mke (bibi) wa mtu ambao hawajafunga ndoa hadi leo. kipindi hicho damu inachemka kwa sana. akashika mimba na wala hakuniambia mimba ni yangu. baada ya kujifungua ndipo akaniambia kuwa mtoto ni wangu. sikutaka kukubali na akawa ananilazimisha na kutishia kunisusia mtoto. kila aliyemwona alisema mtoto ni wa kwangu. uhusiano na huyo bwana wake nao ukawa na migogoro kipindi hicho. ikafika wakati nikaanza mchakato wa kumkubalia alichosema. ndipo siku tukakutana akaniambia kuwa yule mtoto si wangu na alikuwa anataka kunibambikizia tu. akasema kuwa ndugu wa bwana wake walikuja kumwona mtoto na wakaridhika kuwa ni damu yao. nikakubali shingo upande. huwa nakutana na rafiki yake wa karibu na huwa namuuliza kuhusu huyo mtoto nae anasema kuwa ni wangu, na kwamba wanawake wana siri sana. huwa nakutana na huyo mke wa mtu kwa nadra (si kufanya mapenzi) na nikimuuliza anakataa kabisa na kunipotezea. siku zinavyoenda nazidi kuwa na shauku ya kutaka kujua ukweli na ikibidi kuthibitishiwa ukweli. cha ajabu hadi leo hawajaongeza mtoto mwingine wakati huyo ana miaka 7 sasa. kuna uwezekano wa kumpata huyo mtoto au ndio basi?
Mithali 1 : 7 'kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa' hebu mrejee Mungu ukitubu dhambi ya kuiba mke wa mtu huku ukijua fika kuwa ni makosa, na Mungu atakupa maarifa, hata hivyo usirudie tabia hiyo mbaya
sina uhakika kama unayaelewa uliyoyasema au umeysema tu kwa vile yapo mdomoniMi nadhani uendelee na maisha yako tu maana kitanda hakizai haramu.
Annina
Mi nadhani uendelee na maisha yako tu maana kitanda hakizai haramu.
Annina
kiukweli miaka 7 iliyopita nilikuwa na uhusiano na mke (bibi) wa mtu ambao hawajafunga ndoa hadi leo. kipindi hicho damu inachemka kwa sana. akashika mimba na wala hakuniambia mimba ni yangu. baada ya kujifungua ndipo akaniambia kuwa mtoto ni wangu. sikutaka kukubali na akawa ananilazimisha na kutishia kunisusia mtoto. kila aliyemwona alisema mtoto ni wa kwangu. uhusiano na huyo bwana wake nao ukawa na migogoro kipindi hicho. ikafika wakati nikaanza mchakato wa kumkubalia alichosema. ndipo siku tukakutana akaniambia kuwa yule mtoto si wangu na alikuwa anataka kunibambikizia tu. akasema kuwa ndugu wa bwana wake walikuja kumwona mtoto na wakaridhika kuwa ni damu yao. nikakubali shingo upande. huwa nakutana na rafiki yake wa karibu na huwa namuuliza kuhusu huyo mtoto nae anasema kuwa ni wangu, na kwamba wanawake wana siri sana. huwa nakutana na huyo mke wa mtu kwa nadra (si kufanya mapenzi) na nikimuuliza anakataa kabisa na kunipotezea. siku zinavyoenda nazidi kuwa na shauku ya kutaka kujua ukweli na ikibidi kuthibitishiwa ukweli. cha ajabu hadi leo hawajaongeza mtoto mwingine wakati huyo ana miaka 7 sasa. kuna uwezekano wa kumpata huyo mtoto au ndio basi?
Story yako haina flow ya kueleweka. Umetunga au umemodify situation. Kama ni kupotezea watu muda, wamekushtukia.
kiukweli miaka 7 iliyopita nilikuwa na uhusiano na mke (bibi) wa mtu ambao hawajafunga ndoa hadi leo....... ..... uhusiano na huyo bwana wake nao ukawa na migogoro kipindi hicho. ........... huwa nakutana na huyo mke wa mtu kwa nadra (si kufanya mapenzi)
Three letters, DNA.
Na hiyo ni kwa consent ya huyo mama, kama anataka wote mjue ukweli.
Ama sivyo kubali tu, ulikuwa unafanya mambo kwa ashki tu na hukupanga kupata mtoto, na mtoto kuna chance kubwa si wako, kwa hiyo sahau tu.
kiukweli miaka 7 iliyopita nilikuwa na uhusiano na mke (bibi) wa mtu ambao hawajafunga ndoa hadi leo. kipindi hicho damu inachemka kwa sana. akashika mimba na wala hakuniambia mimba ni yangu. baada ya kujifungua ndipo akaniambia kuwa mtoto ni wangu. sikutaka kukubali na akawa ananilazimisha na kutishia kunisusia mtoto. kila aliyemwona alisema mtoto ni wa kwangu. uhusiano na huyo bwana wake nao ukawa na migogoro kipindi hicho. ikafika wakati nikaanza mchakato wa kumkubalia alichosema. ndipo siku tukakutana akaniambia kuwa yule mtoto si wangu na alikuwa anataka kunibambikizia tu. akasema kuwa ndugu wa bwana wake walikuja kumwona mtoto na wakaridhika kuwa ni damu yao. nikakubali shingo upande. huwa nakutana na rafiki yake wa karibu na huwa namuuliza kuhusu huyo mtoto nae anasema kuwa ni wangu, na kwamba wanawake wana siri sana. huwa nakutana na huyo mke wa mtu kwa nadra (si kufanya mapenzi) na nikimuuliza anakataa kabisa na kunipotezea. siku zinavyoenda nazidi kuwa na shauku ya kutaka kujua ukweli na ikibidi kuthibitishiwa ukweli. cha ajabu hadi leo hawajaongeza mtoto mwingine wakati huyo ana miaka 7 sasa. kuna uwezekano wa kumpata huyo mtoto au ndio basi?
1. Mtoto wakati wote ni halali iliyo wazi kwa mama(mwanamke). Kinachofanya uhalali kwa mwanamme (baba) ni NDOA tu, peke yake. Hapana ndoa hakuna mtoto kwa mwanamme kwa maana ni zinaa imepita na ni mtoto wa upande mmoja. Kisharia hatia ya makosa ya zinaa kwa mwanamke ukiondosha ushahidi redhanded ni kule kwa yeye kushika uja uzito pasipo na ndoa. kama ukijitokeza basi ulitakiwa na wewe uadhibiwe kwa uzinifu kama huyo mwanamke.
2. Ukisikia neno linaloitwa "mtoto wa haramu" maana yake ni kwamba siyo mtoto wa haramu kwa mama yake, la hasha, bali ni mtoto wa haramu kwa yule mwanamme aliyebandikizwa kuwa baba yake na ilihali ya kuwa ndoa haikuwepo. Hivyo ni haramu yake.
3. Tafadhali usimfanywe abandikwe jina baya la "mtoto wa haramu" huyo mtoto kwa utamanifu na enjoyment yako ya kuitwa baba, hana kosa kustahili hivyo, na makosa mnayo nyinyi mliofanya zinaa. Shika njia yako utubie na huyo mama ashike njia yake na mwanawe atubie, kama nyote ni watu wa ku-reflect na kutubia. Dhambi unayoihadithia katika kadamnasi ni vigumu kufutika.
huwa inatokea, mkuuKama stori hiyo ni ya kweli..basi bwana huyo ni **** ila mbaya!!! kwanza ni mzinzi na mwizi wa mke watu halafu anapata nguvu gani za kudai hivyo..si anajitafutia balaa
Mithali 1 : 7 'kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa' hebu mrejee Mungu ukitubu dhambi ya kuiba mke wa mtu huku ukijua fika kuwa ni makosa, na Mungu atakupa maarifa, hata hivyo usirudie tabia hiyo mbaya kumbe mbaya hivyo? Sikujua __________________
Tena tamaa yako itakupeleka motoni acha kabisa,mrudie Muumba wako.Hivi Kingi mbona unataka kuchefua wana jfhivo?