Nifanye nini mume wangu abadilike?

Nifanye nini mume wangu abadilike?

Anna pita

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
227
Reaction score
427
Jaman huyu baba/ mme ananipa mawazo Sana
Mungu sijui kampa roho ya huruma kupitiliza
Anakipato kikubwa lkn akipata hela anagawa tu
...Kila mwisho wa mwez nikugawa hela tu
Mwanzo nilitumia akil nikafungua ac ya familia nikamwambia tuwe tunasave hela na kadi nikampa kabisa akae nayo...
Lkn kuweka hela nimtihan mpaka mgombane Sana
Dec 21 salary imeingia 1.3 juz mpaka leo imebaki lak 7
Dec 18 Kuna Kaz alifanya pemben akapewa laki 6... Nikambembeleza tuisave kwenye ac kagoma
Nashindwa nimfanyeje jmn nimeshaongea mpaka nimechoka
Ukimwambia swala maendeleo ndan anakua mzito lkn ukimuomba hata kusuka kila wiki hana shida....yoyote atakaemwomba hela hamnyimi labda isiwepo tu....jmn nifanyeje?
hella tunapata mno mwez ukiwa vzur hata M3
Lkn hata kiwanja hatuna , fernicha ndan mpaka tukabane mashat au ninunue Mimi tu sababu nami ninakaz ...nisaidien mawazo jmn
 
Fanya hivi..
Muombe hela kwa ajili ya matumizi mbalimbali, NA HIZO UZIPELEKE KWENYE AKAUNTI YENU YA BENKI
 
MUACHE KWA SASA PENGINE KUTOA KWAKE NDIO KUPATA KIPATO ZAIDI, SISI TUNAOAMINI MUNGU NDIO TUNAVYOAMINI IVYO, ITAFIKA MDA ATAWEKA AKIBA NA MTAFRAH TU
 
Jaman huyu baba/ mme ananipa mawazo Sana
Mungu sijui kampa roho ya huruma kupitiliza
Anakipato kikubwa lkn akipata hela anagawa tu
...Kila mwisho wa mwez nikugawa hela tu
Mwanzo nilitumia akil nikafungua ac ya familia nikamwambia tuwe tunasave hela na kadi nikampa kabisa akae nayo...
Lkn kuweka hela nimtihan mpaka mgombane Sana
Dec 21 salary imeingia 1.3 juz mpaka leo imebaki lak 7
Dec 18 Kuna Kaz alifanya pemben akapewa laki 6... Nikambembeleza tuisave kwenye ac kagoma
Nashindwa nimfanyeje jmn nimeshaongea mpaka nimechoka
Ukimwambia swala maendeleo ndan anakua mzito lkn ukimuomba hata kusuka kila wiki hana shida....yoyote atakaemwomba hela hamnyimi labda isiwepo tu....jmn nifanyeje?
hella tunapata mno mwez ukiwa vzur hata M3
Lkn hata kiwanja hatuna , fernicha ndan mpaka tukabane mashat au ninunue Mimi tu sababu nami ninakaz ...nisaidien mawazo jmn
Wanaume wengine mpaka wasaidiwe majukum na wanaume wenzao ndio wanapo jua thaman ya mwanamke katika ndoa

Njoo piem tutete kinagaubaga
 
Jaman huyu baba/ mme ananipa mawazo Sana
Mungu sijui kampa roho ya huruma kupitiliza
Anakipato kikubwa lkn akipata hela anagawa tu
...Kila mwisho wa mwez nikugawa hela tu
Mwanzo nilitumia akil nikafungua ac ya familia nikamwambia tuwe tunasave hela na kadi nikampa kabisa akae nayo...
Lkn kuweka hela nimtihan mpaka mgombane Sana
Dec 21 salary imeingia 1.3 juz mpaka leo imebaki lak 7
Dec 18 Kuna Kaz alifanya pemben akapewa laki 6... Nikambembeleza tuisave kwenye ac kagoma
Nashindwa nimfanyeje jmn nimeshaongea mpaka nimechoka
Ukimwambia swala maendeleo ndan anakua mzito lkn ukimuomba hata kusuka kila wiki hana shida....yoyote atakaemwomba hela hamnyimi labda isiwepo tu....jmn nifanyeje?
hella tunapata mno mwez ukiwa vzur hata M3
Lkn hata kiwanja hatuna , fernicha ndan mpaka tukabane mashat au ninunue Mimi tu sababu nami ninakaz ...nisaidien mawazo jmn
Umeandika.haya mume.yuko wapi kwa sasa
 
Inaonyesha wewe pia una roho ya kwanini, ameshakusoma hupendi asaidie, hapo ndipo unapo mkwaza, maana unaposema anagawa tu lakini hiyo hiyo ndiyo njia Mungu anambariki nayo, kwani mmeshawahi kulala njaa?
 
Ndugu maisha yanaenda kasi sana leo tunacho kesho hatuna kwel mtu unagawa hela kama unajua kesho???
 
Unapotaka kuhema sharti uvute pumzi na uiachie
Ukivuta tu utaishia kuumia pengine kufa....

JITAFAKARI
 
Umeshajua weakness zake, wewe upange maendeleo kivyako. Mshahara wako save ununue kiwanja na umuombe hela ya kusuka ili upate nauli ya mwendo kasi .

No body is perfect, ukimpata anaekupa hela ya kusukia mheshimu.
 
MUACHE KWA SASA PENGINE KUTOA KWAKE NDIO KUPATA KIPATO ZAIDI, SISI TUNAOAMINI MUNGU NDIO TUNAVYOAMINI IVYO, ITAFIKA MDA ATAWEKA AKIBA NA MTAFRAH TU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom