wakili atafika eneo latukio atawahoji majirani na kiongozi wa mtaa walioshuhudia aliyeuza anaweza kupigiwa simu au kufuatwa akahojiwa na kusign mkataba biashara imekwisha...unaenda ardhi unaomba kupimiwa eneo lako kama hapajapangwa au kupimwa mji....kama pamepimwa awali na hati ya eneo lipo na namba ya kiwanja...wakili kwa kupitia maafisa ardhi wanabadilisha umiliki na hati kwisha...