HighSchool
Member
- Aug 6, 2022
- 87
- 91
Maelezo mengi lakini sijajua unaomba ushauri gani sasa??tatizo la kutopitia jando ndio hili sasaHabari wakuu
Naimani wote wazima mungu anatupigania
Kama unatafuta mshenga njoo PM tuyajenge, acha kumbwelambwelaHabari wakuu
Naimani wote wazima mungu anatupigania
Haujui utaratibu wa kufuata ukitaka kuoa au
Kama unatafuta mshenga njoo PM tuyajenge, acha kumbwelambwela
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kama hawajafunga ndoa na mchizi Sasa tatizo Nini? Si umwambie ukweli kuwa unataka kumuoa na uko serious akupe taratibu za kupeleka mshenga kwao wakati huo nae akivunja uchumba au urafiki na mchizi.
Ila nikupe akili ambayo pengine huijui kama angalizo, wanawake wote wanaoamua kutoka nje ya mahusiano Yao huwa wanaitumia hiyo sababu kuwa hawako sawa na wapenzi wao. Siku akija mfanyakazi mwingine smart hapo ofisini Kaa ujue tu nae ataambiwa hivyo hivyo kukuhusu wewe. Ni angalizo tu nakupa kama kaka Yako niliyeona mengi. Achana na hizo hadithi sijui wafanyakazi wa kiume wote walimtokea akawakataa. Usizipe nafasi kabisa akilini mwako
Nenda taratibu.. taratibu mkuu....embuvuta subira kidogo usibebe harakaharaka maana hapo hajasema wameachana.Embu nenda taratibuu
siajelewa hapo UNAKWAMA WAPI???
Huo ni mtego usiuingie kichwakichwa
eeeh naona alishatolewa mpaka mahariii.. mahari INARUDISHWAA MZEEE kama yupo serious ajipange akamtolee mahari ila demu awe tayari kumkana jamaa kwa wazazi wake kuwa hamtakii tenaa so mahari irudishwe japo huwaga haiishi vizuri mwisho wakeApo kunachangamoto inaweza kuja kutokea mkuu coz hawa hawajaachana ila wametengan
eeeh kwani alitolewa mahari???
Basi sasa kuna siku akawa hayuko sawa nikamuuliza nini shida ndio akaanza kunielezea ile changamoto kuwa ni kweli ana mwanaume lakini hawajaoana kabisa na hawajazaa na hadi kwao wanamjua na alishapeleka mpaka posa na kila kitu lakini kiukweli hawako sawa kabsa na anasema hana furaha kabisa na maisha anayoishi na jamaa na ilifikia stage kila mtu anakaa kwake mpaka now
Mahari kurudishwa no mkosi no gundu ilo mzee.eeeh naona alishatolewa mpaka mahariii.. mahari INARUDISHWAA MZEEE kama yupo serious ajipange akamtolee mahari ila demu awe tayari kumkana jamaa kwa wazazi wake kuwa hamtakii tenaa so mahari irudishwe japo huwaga haiishi vizuri mwisho wake